Salaam wakuu,
Kwa wale ambao washawahi kusoma online, napenda kufahamu zaidi jinsi program zinavyoendeshwa na kila kitu Kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Post zangu kwenye thread hii zitakuwa ni ndefu kidogo kwa kina kuliko nilvyozowea kuandika. Mara kwa mara zitakuwa zinaambatana na video za Youtube kusupport maneno yangu. Zisome ukizingatia hali...
Wizara ya elimu imetoa rasimu ya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu chini ya utaratibu huo elimu ya msingi inaunganishwa na sekondari o level hivyo elimu ya msingi itakuwa miaka kumi na itafundishwa...
Naomba ushauri juu ya program hii,
Naenda somea UDSM
GPA 3.9 undergraduate (BA.ed)
Je, ajira nitapata na mbali ya kuwa mkufunzi ni faida ipo nyingne nitaipata yani naweza kuwa employed wapi...
Habari,
Naomba kwa wenye ufahamu wa haya yafuatayo tushirikishane.
Upepo hutokea wapi?
Kati ya Sea breeze/ Land breeze na Upepo (Wind) kipi kilianza?
Kwa nini maji ya kutengeneza kwenye dimbwi...
Habari za humu wadau,
Mimi ni muhitimu wa shahada katika Chuo kimoja wapo hapa Bongo. Je, ninaweza kupata fully- funded scholarship nikasome master’s yangu USA katika fani za technology au...
Nikiwa Form 5 Moringe Sokoine Sec tuligoma A-level wote kisa kukataa kufanya usafi dining na library wakati huo Lowasa akiwa Waziri wa Maji na ndio Mwenyekiti wa bodi ya shule tukapigwa suspension...
Technology during a pandemic
Experiencing people participating in gatherings like social events, markets and even in political events was normal in the world. It made people feel that they were...
Wakuu kwema?
Nataka Kahama chama cha waalimu Tanzania (CWT) Je, Kuna vyama gani vingine mbadala tofauti na CWT? Kama Kuna mtu anavifahamu naomba anipe na mawasiliano ya Viongozi wa hivyo vyama.
Rejea kichwa cha habari wana JF,
Naombeni msaada kujua ni wapi kwa Dar es salaam hii naweza kupata mafunzo ya kazi hii. Kama ni veta au chuo chochote itakiwa vyema sana.
Hiyo picha hapa chini...
Habari wanajamii nina shida na mtu anaesoma molecular biology and biotechnology UDSM, vizur zaid awe mwaka wa kwanza. Kama yupo anitumie text kwenye namba 0768724501. Asanteni wapendwa
Kijiji kilivuna jumla ya magunia 200 ya mazao mbalimbali,
Iwapo ⅕ ni maguni ya maharage, 1/10 ni magunia ya mahindi na sehemu iliyobaki ni ya zao la mtama, je kijiji kilivuna magunia mangapi ya...
Niliaffectiwa na misuko suko ila saizi nina utofauti na hali iliyonipata nikiwa shule mana ilifika mda nilikuwa kama nimechanganikiwa lakini saizi nipo nyumbani naona hali yangu imetulia akili...
MAANA YA ARDHI.
Kuna tafsiri nyingi za ardhi kulingana na uelewa wa mtu mmoja mmoja lakini kwa mujibu wa miongozo ya nchii yani katiba, sera, sheria za ardhi pamoja na kanuni na taaratibu mbali...
IKIWA chumvi yote ya baharini ingetandazwa juu ya ardhi, ingefanyiza tabaka lenye unene wa meta zaidi ya 150, yaani, jengo lenye ghorofa 45 hivi!
Chumvi hiyo yote hutoka wapi, hasa tunapofikiria...
Habari. Chukua hatua, jikinge na maambukizi.
Baadhi ya Maswali Magumu:
1. Mitihani ya kitaifa itafanyika lini?
2. Wa kujiunga na kidato cha tano wajiunge lini?
3. Wa kujiunga na vyuo vya elimu...
Kama kichwa kinavyojieleza,wenye vigezo changamkieni hii fursa.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na;
RSIF Regional Coordination Unit (RCU)
Administered by the International Centre of Insect Physiology...
Kama ligi kuu iko karibu kufunguliwa kwanini shule na Vyuo visifunguliwe naomba kuwasilisha maana tumeambiwa hakuna Mwanamichezo hapa kwetu aliyeambukizwa
Its not over until its over...[emoji769]
Poleni kazi Wakuu.
Jamani nahitaji msaada kwa alie na ufahamu juu ya hizo field hapo juu.
Nimechaguliwa bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.