Habari Wapendwa?
Kwa walio na ufahamu kuhusu Enginering.
Je, hivi mtu huyu anaweza kusoma Engineering.
Ufaulu ni Kama Ifuatavyo:
Physics
Geography Na
Mathematics
Ivi Kuna Uwezekano Wa...
Hii program ina dahili vijana waliomaliza form 4. Mwaka wa kwanza unafanya foundation program ya NCC level 3. Ukifaulu unaingia Level 4 (mwaka mmoja) baadae level 5(mwaka mwingine mmoja). Kila...
Hi! kwa members wote wa JF
Straight to the point kuna haya maswali naomba msaada
1. Find CotB if CosA=1/4 and Cos(A-B)=8
2. Express CosecX+Cosec2X+Cosec4X as the difference of two Cotangents...
Habari zenu?
Kwa wale waliowahi kupitia programs za uhasibu, sio wageni sana kwenye hili somo tajwa. binafsi ni mwanafunzi katika chuo kimoja katika program ya uhasibu ngazi ya shahada.
Sasa...
Naomba msaada mwenye kitabu (pdf au doc) cha "Divine Providence" kilichondikwa na S. Ndunguru. Au kama kuna analysis ya kitabu hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
The continues student after delivery the government on contrary argues that allowing these girls to continues with studies will translate into encouraging other girl to engage into immoral...
Wakuu habarini za majukumu?
Naamini mnaendelea kuchukua tahadhari katika kujikinga na janga linalotukabili sasa hivi la COVID-19.
Mimi nimebisha hodi humu jukwaani kuwaomba mnisaidie soft copy ya...
habari zenu wanajamvi,
Kama title inavyosema hapo juu. Nimemaliza form 4 mwaka jana na kupata division 3 jijini kampala na sasa nimejiunga na A level.
Sasa kiu yangu ni kusomea elimu yangu ya...
Mimi nilimaliza darasa la saba miaka ya nyuma kidogo. Kuna sehemu nikapata kazi na nimefanya kwa muda mrefu sana.
Nimepata taarifa TCU kuna programme wameanzisha ambapo nimefuatilia na nikagundua...
Tabora school kichwa cha tanzania
jinalo we kote lina tajika
hapa twakusanyika, tupate kuelimika
tabora school kichwa cha tanzania
haya tena vijana wote mliomaliza tabora boys...
Poleni na majukumu wakuu. Mungu ni mwema kila wakati..
Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano katika Elimu anaweza akafanya Postgraduate...
Kutoka mtandao wa
www.mrbunduki.com
Kama kuna orodha ya vitu vinavyochukiwa zaidi na Watanzania basi ni kusoma vitabu. Sijui ni kwasababu gani hasa.
Kuenea kwa teknolojia?
Kazi nyingi?
Uvivu...
T O P I C. 1.
THE RISE OF CAPITALISM IN EUROPE.
CAPITALISM...
★Refers tona system of production in which individual personer was own factor of production such as Factory, Industry, land...
Wakuu suala zima ni la ajira kwamba siku hizi ajira kila sekta ni ngumu lakini pia nataka kuuliza ikitokea mtu amemaliza degree ya Public Relations and Marketing anaweza omba kazi sehemu zipi...
Ipi kati ya degree hizi ina unafuu kwenye uwanja wa ajira na kujiajiri?
Law
Accounts
Business Administration
Wakuu poleni na mihangaiko ya Kila siku na na ugonjwa unaotusumbua pia tukumbuke...
Thin and red,
Skinny and bald,
The boy groans on the ground.
Swollen stomach
Full of waste,
Thin legs,
Thin arms,
Twitch
As the boy
Fights with flies
Over the empty plate.
Ten years old,
He...
Natumai ni wazima pia poleni wote wenye matatizo kama wapo. Baada ya salamu ningependa kupata ufafanuzi juu ya jambo hili.
Mtu ni mwalimu wa secondary na ufaulu wake wa A-level unamruhusu kusoma...
Habari Wana jamvi,
Nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 nikawa nimepata F ya Physics na Mathematics, nikasomea certificate ya CHW. Sasa nawaza kurudia masomo hayo niliyofeli.
Je, naruhusiwa...
*ZOEZI LA KUPOKEA TAARIFA ZA WALIMU WOTE NCHINI WA SHULE ZA BINAFSI AMBAO WAMEKUMBWA NA TATIZO LA MISHAHARA YAO KUTOLIPWA KUTOKANA NA JANGA LA UGONJWA WA CORONA LINAENDELEA VIZURI*
Zoezi hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.