Wanajamvi Habari,
Naomba msaada kwa wenye uelewa wa elimu ya masters wanipe msaada wa mawazo kidogo.
Kitaaluma mimi ni mwalimu. Soon baada ya kuhitimu shahada yangu (program BED) mwaka huu...
Mdogo wangu kamaliza kidato cha nne ufaulu wake ni Division III 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C'
KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F'
Ni kozi ipi nzuri...
Salaam kwenu.
Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk.
Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo...
poleni na majukumu na harakati za kupambana na maisha. Nombeni notes za Chemistry advanced (five na six) soft copy. Au mwenye link au App ambapo naweza pata notes nzuri anijuze.
Natanguliza...
uniRank World Universities Rankings & Reviews
Top 200 Universities in Africa
2020 African University Ranking New
Rank University Country
1 University of Pretoria South...
NACTE wanafungua lini dirisha la intake ya October 2020. Kawaida March huwa i wakati dirisha la kuomba vyuo linafunguliwa. Leo ni April hamna hata dalili. Tuhabarishane mwenye fununu.
Sent using...
Kwa mujibu wa mfumo wa Elimu Tanzania Tuna darasa (STD) 1 hadi la7 kwa while za msingi
Halafu tuna
9 - Form one
10- Form Two
11- Form Three
12 Form Four
sasa swali ni je hill darasa la nane ni...
Wakuu,
Niko Dar. Nahitaji kufanya kozi fupi katika maeneo tajwa hapo juu. Naomba recommendation ya sehemu nzuri ya kuzipata. Data analysis kwa Stata.
Asanteni.
Habari wananzuoni wa Taifa letu teule,
Naomba msaada wa kupata baadhi ya mitihani ya taifa kwa miaka iliyopita kwa shule za msingi kwa maana ya kuliandaa taifa letu na wasomi wa baadae
Nikipata...
Wakuu habari za jioni.
Naomba yeyote mwenye notes za somo la kiswahili kuanzia form 1 mpaka form 4.
Ziwe zimeandikwa vizuri na uchambuzi wa fasihi uwe umechambuliwa vizuri.
Nitapiga photocopy kwa...
Naomba mwenye notes nzuri za practical biology A LEVEL anisaidie, au tuongee biashara nazihitaji sana.
NB: Ziwe na practical zote za A-level kama vile dissection, food test, classification nk...
Waungwana naomba mawazo kidogo.mimi nilikuwa mwalimu wa certificate (2014) bahati nzuri nimefanikiwa kuendeleza elimu kwa kiwango cha degree na mwaka huu nahitimu mungu akipenda.
Naomba ushauri...
Habari zenu wanachuo mliopo likizo ya corona.
Nina wazo la kubadilisha sehemu ninayokaa ili iwe hosteli ni mtaa karibu na chuo kikuu cha Ruaha. Sasa nipo kwenye stage ya kukusanya taarifa mbali...
Jamanii wanajamii forums naombaa kuulizaa kua kua dogoo langu kapata phy F ,math F ,engl C , chem C na bios C.. anawezaa kusomaa chuo cha afyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
nina imani wengi wetu tumepitia situation kwenye mitihani ya taifa au chuo(ue)...mambo yanakuwa magumu kiasi kwamba huna namna zaidi ya msaada lazima uigilizie...
japo kuna walim wengine ni...
Habariza Jioni wana JF..
Samahani naomba msaada wa kupata link yenye matokeo ya mitihani ya kozi za afya iliyofanyika mapema mwaka huu 2020...au namna yeyote ambayo naweza kuona matokeo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.