Habari wa ndugu, kwa yeyote anaehitaji notes bora za kujisomea, kufundishia na pia vitini vya maswali na majibu katika masomo ya o,level na Advanced level yote yanapatikana.
Tunapatikana Dar es...
Habari wana jukwaa hili.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina ndugu yangu kijana lakini amekumbwa na fedheha hiyo nimejaribu kutafuta vituo mbali mbali ambao nitapata huduma hii lakini...
Kwanza natanguliza shukran pili natumain mu wazima wa afya tele.
Naomben list ya vitabu vizur vya kusoma tafadhar nkipata na PDF zake nitashukuru zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Graduates jamani karibuni sana mtaani, mmetoka chuoni, mambo yanabadilika na kuwa tofauti, huku mtaani hakuna bumu, huku hakuna atakayekupa pocket money! Wengi wenu mna matumaini makubwa ya kupata...
wakuu habar za muda huu,
Naamini hapa nipata msaada wa kutosha na mbinu mbalimbali kutoka mashule mbali mbali namna wanavyofanya kupata wanafunzi wengi kwenye shule zao.
Hivyo, naomba...
Kuna mtu anaulizia hii college ya MWANZA YOUTH CENTRE imesajiliwa na nacte?
Matokeo baada ya kumaliza wanapeleka nacte aliyesoma hapo atupe updates
Sent using Jamii Forums mobile app
nina mdogo wangu anataka kusoma kozi za afya kulingana na matokeo haya mnamshaurije? mana alnambia akienda advance anahofia akipelekwa kozi za arts.
bios B
chemistry D
geo C
English C
Kisw B...
Natanguliza shukuran;
Ndugu mm nimehitimu 2018 Diploma in secondary Education katka masons ya Biology na chemistry ila kwa sasa bado sija ajiriwa ila nahitaji mwaka huu niende kusoma degree ya...
Ujumbe kwa serikali
Wakasome Technologies na Tiba kisha warudishwe hapa Tanzania watupwe kwenye manufacturing industry na tiba haki ya nani tutapiga hatua haraka sana.
Tufanye hivyo kwa miaka...
Historical Background
The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania.[3] It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London...
Africa Facts
What are you looking for?
Menu
HomeAfricaInteresing FactsTop 50 Universities in Africa
Africa, Interesing FactsTop 50 Universities in Africa PREV ARTICLE NEXT ARTICLE
Which...
MimI nImesoma chuo cha mwalimu nyerere memorial academy course ya ordinary diploma in primary school,na nina gpa at least 4.5. Je, ninaweza kusoma degree ambayo haihusiani na education, kama ni...
Wakuu mtakuwa mashahidi, elimu siku hizi duniani imerahisika sana.
Sio vita tena, bali ni kutoana ujinga tu kisha kila mmoja apambane na hali yake akiishafika huko mitaani.
Sasa kumtaka mtu kwa...
Shule za private zipo za Aina kadhaa.
1. Zinazo milikiwa na Taasisi (eidha za kiserikali, zisizo kuwa za kiserikali au Taasisi za kidini)
2. Zinazo milikiwa na makampuni.
3. Zinazo milikiwa na...
Wana jf ningeomba kujua ni kipengele kipi na kipi ukisoma ICT unaeza pata kazi kwenye makampuni ya mitandao ya simu kama vodacom, airtel e.t.c.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba msaada kwa yeyote anayeelewa anasaidie kuelewa yafuatayo:-
1. Mwajiriwa anastahili kukatwa Kodi yoyote au Michango ya Mfuko wa Jamii wakati was Probation Period?
2. Posho anayolipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.