Wadau naombeni kuelimishwa.
Binti yangu kamaliza Form Four kapata Div 1 ya point 10. Alifanya masomo ya biashara na kafaulu vizuri katika masomo husika.
Safari yake ya maisha anataka kuja kuwa...
Naandika haya kama Mtanzania Mzalendo ambaye ninaamini kabisa kwamba Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe na kwa faida za Watanzania wenyewe.
Ninatambua kwamba katika hili la elimu kunaweza...
Jaman nina ufaulu huu Civ D, Geog D, Engl D, Kisw C, Hist F, Math F, Bio F, Chem D.
Nisaidieni college ambayo inanifaa kwa kulingana na ufaulu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu huyu kijana kwa matokeo haya akasomee nini: Div 2.20 Eng - B, Phy - D, Chem - C, Hist - C, Geo - C, Civics - C, Kisw - C, Bio - C, Math - F.
No madaraja
No increments
No uhamisho
Ila .
Mfaulishe kwa zaid ya asilimia 90.
Mdhibiti utoro kwa asilimia 95.
Mkuze nidhamu kwa asilimia 95.
Pia.
Muandae notsi kwa asilimia 99
Muandae Lesson...
Wana JF, nimejaribu kuwaza kwamba juzi kwenye matokeo ya mtiani wa kidato cha nne 2019 hawa vijana 10 au "the best 10 students" kama yule kijana Yohana kutoka mkoa wa Simiyu na wengine waliotoka...
Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne. Anahitaji kujiunga na Certificate katika Chuo cha NIT.
Naomba kujua NACTE wanafungua lini maombi na utaratibu ukoje?
Asanteni.
Habari za mda huu wanajukwaa...
Je unakumbuka siku yyaliyotangazwa matokeo yako ya form four..
Share nasi uliyapokeaje? ulijisikiaje?, kuna kitu gani unique ulifanya unakumbuka?, ulikuwa katika...
Moja kwa moja kwenye mada. Serikali ikiamua kutekeleza mpango wa kuajiri walimu wa masomo ya sanaa ngazi ya shahada kufundisha primary. Je, haiwezi kuzua migogoro na migongano ya kimaslahi...
Habari zenu, hebu rejeeni kichwa cha uzi hapo juu. Naamini mpo vyema kiafya, hata mimi nipo hivyohivyo na shukrani zote kwa Muumba.
Kilichonifanya nikafungua uzi huu, ni kuhusu huu mfumo wa...
Jamani naombeni kujua kwa mfano chuo kama IFM au vyuo vyote ukitaka ku-apply wanakwambia andika index number. Naombeni kukumbushwa jinsi ya kuandika please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalipongeza Baraza la Mitihani Tanzania kwa kutoa matokeo ya kidato cha nne mapema.
Sasa ushauri wangu ni huu; kama wahusika wa elimu Tanzania mnajua kabisa hali ya uchumi ilivyo nchini wazazi...
Habari wakubwa, natumai mu wazma wa afya.
Najua wengi mmesoma Vyuo mbalimbali katika kozi mbalimbali lakini naomba kuuliza swali moja:
Ulipokuwa Chuo ulijipatia kipato kwa njia gani na ilikuwa...
Hii ni thread maalumu kwa wale form four na form six wote wenye kutamani kujiunga na vyuo vya ufundi
Vyuo hivyo ni
Dar es sallam institute of technology(DIT)
Mbeya university of technology(MUST)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.