Ni kwa nini Tanzania tusingesoma kwa kiswahili kuanzia vidudu mpaka PHD?
Nipo nameza vitini hapa hata kichwani haviingi.
Hivi nchi zingine zilizoendelea kama Marekani, Uingereza, Ujerumani...
Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo:
Civ - B
Kiswa - B
Hist - C
Geo - C
Engl - B
Engl in Literature - C
Phy - C
Chem - B
Bios - A
Math - B
Dogo hataki...
Jamani mimi nimemaliza Form 4, nataka nichukue sheria ila nataka niende college.
Mnanisaidiaje jinsi ya kujinga na vyuo:
Daraja la ufaulu liwe vipi?
Na wanasajili lini?
NB: Hiyo ni kwa kila chuo...
Alserkal Residency in Dubai is inviting applications for its Summer Cycle Programme for research-based and socially-engaged practices in 2020.
Alserkal Residency is a platform for artistic and...
Dah ni long sana enzi hizo kipanga nimemaliza Form 6 nikachaguliwa kwenda chuo kikuu cha Dodoma .
Mtaani ilikuwa pongezi kila napopita kuwa sasa mtaa unaongeza Engineer mwingine..Full shangwe yani...
Sorry wanajukwaa naomba kufahamu eti ni vigezo gani hutumika kumpata Tanzania One kwa upande wa kitaaluma, iwe Form Four au Six.
Msaada tafadhali, nataka nimalize ubishi kuna watu tulikuwa...
Baada ya kujichanga kwa muda mrefu sana mwezi wa 6 nategemea kuvunja kibubu kuchukua kagari ka kupiga nako misele town.
Kwa hiyo wakuu naomba anayejua chuo kizuri cha udereva chenye ada nafuu na...
Dogo kamaliza form 4 kanyoosha 1 ya point 7.. dogo hataki tena kuendelea kuitumikia necta namaanisha hataki kuenda form 5 kusoma kwa kutumia mitaala ya necta, nataka kwenda international school of...
Wadau Nina Cc) Math na (D) ya Geography na (D) ya History. Nina division III-22 eti naweza kusomea combination ya EGM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa,
kwa taarifa njoo PM
Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote
Hii...
Matokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)
Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na...
Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza...
Habari zenu wanajukwaa kama kichwa cha thread kinavyosema nilimaliza kidato cha nne 2014 matokeo hayakuwa mazuri kama nilivyotegemea.
Yalikuwa hivi: Geography D, History D, Civics D, English E...
Tafadhali jamani naomba kama kuna mtu yoyote anasoma Diplomasia Kurasini au sehem yoyote ile nina shida naye PM please.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.