Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Watalaam msaada wenu katika hayo Mambo ya Afya. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
992 Views
Habari za wakati huu wanajanvi, Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna usemi usemao kuwa, "ukiona vyaelea ujue vimeiundwa!". Katika muktadha tu wa kawaida usemi huu una maaana yake yenye busara nzuri tu katika jamii. Usemi huu humaanisha kuwa ukiona aidha kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wataalam, kwa kifupi Mimi kwa level ya bachelor nilisoma Economics ila napenda sana niwe na CPA na ninataka january nianze kujifua kwa ajili ya mitihani ya mwezi mei. nimeangalia...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Vijana changamkia fursa za masomo hizi hapa. https://udahiliportal.com/queen-elizabeth-commonwealth-scholaships-qecs-tenable-in-the-hosting-universities-for-qecs-2020/
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mmetuwakilisha vyema sana, sisi kaka zenu (school alumnis), Nyegezi Seminary my precious school. And much congrats to other top 10 CSED 2019 best students.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kufahamishwa taratibu za kujiunga na Vyuo Vikuu Huria Nchini. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu ya kila siku niende kwenye ombi langu baada ya kutangazwa matokeo ya kidato cha nne nina ndugu yangu ambae amemaliza shule ya sekondari YUSUFU MAKAMBA jijini dar es salaam...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
MIKOA MITATU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA NNE: 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Iringa MIKOA MITATU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA PILI: 1. Arusha 2. Iringa 3. Kilimanjaro MIKOA MITATU...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ile shule maarufu ya wasichana Mbeya St. Francis ipo hatarini kufungwa baada ya wazawa kukabidhiwa toka kwa masister wa shirika la Mtakatifu Karoli Boromeo kwa kile wanacho dai wanaenda kihasara...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Unaeza soma Law then Marketing ikakulipa, au ukasoma Marketing then Education ikakulipa maisha ni mchanganyiko wa mauzauza. Kosa ni kujibana katika taaluma ulosomea. Tanua wigo uzifikie fursa...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Kwa matokeo haya anaweza kupangiwa shule za serikali,mwanafunzi ni mdada Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wadau wa elimu katika jukwaa hili adhimu,I hope mko salama.. Nina mdogo angu kamaliza kidato cha nne mwaka Jana '2019',na kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa juzi na Necta...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari waungwana naomba mwenye kujua maana ya provision for doubtful debt na namna ya kui-treat "ahsante" Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
4K Views
we provide training in CISCO course such as Cisco Certified Network Associate(CCNA) & Cisco certified Network Professional (CCNP). We have a quality & effective CISCO laboratory which cover all...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnitajie shule za vipaji Tanzania chap Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
34 Replies
26K Views
Samahan wakuu, Je, naweza nikaenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo: History-C Geo-D Math-D English-C Literature-C Msaada wenu wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuliza samahani kuna dogo alimaliza form four 2012, nakupata pass tatu kisw, civcs na bios,baadae aka endelea na cheti hadi diploma na kumaliza, alikwama kuendelea na degree kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa. Nikiwa mmoja wa wadau wa elimu nchini, napenda kutoa shukrani na pongezi zangu kwa TETEA Inc ambao ni waanzilishi...
7 Reactions
28 Replies
57K Views
Back
Top Bottom