Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Assalam Aleykum wakuu, mwanangu nataka kumhamisha shule ya sekondari ya serikali toka Mkoa mmoja kwenda mwingine hivyo naomba mwongozo nianze na nini au wapi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naamini UDOM ni chuo kimoja kikubwa hapa Tanzania na kinatoa Certificate and Diploma (non degree) programs nyingi. Kinacho nishangaza ni wana Graduate prospectus, Undergraduate Prospectus lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu vijana wenzangu? Napenda leo tukumbushane wale tulioanza form 1 mwaka 2003 kwa jina na stream ulokuwa.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kuwashauri wazazi wote najua vijana wengi hivi sasa wamefunga shule kwa ajili ya mapumziko, na ni wachache ambao wataendelea na masomo kama tution nk. Najua wengi wetu kama wazazi muda...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimepata nafasi Chuo cha Songea Teachers College kusoma Stashahada ya Ualimu Kemia na Biologia. Hivyo naombeni msaada kwa anayeelewa hiki Chuo au vyuo vingine vyenye kufanana na hicho hususani...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Bila shaka wote ni wazima humu jamvini. Mimi ni moja kati ya watu wengi waliosoma Project/Program Management. Ukweli ni kwamba zaidi ya kile nilichotoka nacho chuoni na nilivyo jiupdate Online...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukisikia kuisoma namba ndo huku Si boom lote nikalipia ada? Hapa nasoma namba kichizi yaani hadi January ifike ya boom 2 itakuwa nimeshakufa. Nilipewa asilimia kidogo sana 40% only sasa kwa chuo...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Habar wadau!. Wiki jana 20/11- 21/11/2019 ilikuwa ni siku ya upimaji wa kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la nne nchi nzima. Halmashauri ya Geita vijijini inayoongozwa na Afisa Elimu Said Juma...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliomaliza darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo amesema #MwananchiUpdate Hongera kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Miji kama India, China, Greece na Rome walikuwa wakifahamu kuwa dunia ni duara na inaelea angani, inajizungusha kwenye mhimili wake kwa masaa 24, na inalizunguka jua, njia yaje ya kulizunguka jua...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni maoni yenu kuhusu course ambayo ina market kwa sasa kwa mtu aliyesoma combination ya CBG.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Hi wapendwa JF. Mi nilifanya vibaya form 4 kwa kupata 0. Nimekuwa na mawazo ya kureseat ila nimeshauriwa nifanye NABE na VETA wameniambia kuwa nikifanya hadi stage 3 nitaweza kujiunga chuo kati...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hello brothers en Sisters! Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni. Swali langu, Je ajira zake ziko...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Wana JF, Waajiriwa wapya wa chuko kikuu kinachoanzishwa na serikali cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichoko Butiama, mkoani Mara wameishi maisha magumu sana...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wadau natumaini mko salama. Naombeni msaada katika system ya online teacher registration kuna kipengele kimekua kigumu ktk ousel subject Mimi nina bachelor ningependa kuchagua primary...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu salama humu nilifungua uzi wa kuomba mtu walau wa kunidhamini nisomee driving nitamlipa gharama zake baadae. Mimi ni mhitimu wa ngazi ya diploma katika fani ya engineering kama mjuavyo fani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salam wana jamvi, wa thread ya elimu. Going straight to the point, mmi ni first year nasoma BEE Bachelor of Electrical and Electronics, lakini shida ni kwamba naona kama mambo hayaendi kwani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza natoa pongezi kwa shule na uongozi wa shule na wanafunzi kwa ujumla kwa kufanya vizuri katika masomo. Changamoto iliyopo ni kuwa kuna hela wazazi wanachangishwa kwa kusudi fulani na hilo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom