Habari jamani wazima
Katika kuappel mkopo nilipewa kiasi kidogo sana yaani 40% tu huku chuo nikipaswa kulipa ada kubwa.
Nimejaribu kuappeal japo sijatuma taarifa zangu kuna hili jambo ni appeal...
Nimesikia ya kuwa utaratibu mpya utatumika kwenye ufaulu wa mitihani ya kidato cha 4, 2019.hususani kupanga madaraja ya ufaulu,mfano
Daraja la kwanza,7 _14
Daraja la pili. 15_18
Daraja la...
Salaaam wana historia wa hapa jf.
Mimi siyo mwana historia lakini ni miongoni mwa wapenda historia. Nilienda upande wa afya. Nilisoma historia hadi f4. Kuna vitu napenda kuvijua kwa undani...
Habarini wadau,
Nina mpango wa kuhamisha makazi kuelekea maeneo ya Mbezi Luis. Nina mtoto wa darasa la pili nataka nimuhamishie shule za maeneo ya karibu na hayo, ukanda wa Mbezi Mwisho, Goba au...
Tafadhali watu wa IT na wengineo natamani sana kusomea mambo ya IT.
Je, faida zake na hasara ni zipi? Vyuo gani naweza kusoma na nikawa competent? Vitu gani vya kuzingatia na kwenye soko la ajira...
Hope mko wazima wa afya.
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu jinsi hawa NACTE wanapata GPA ya mwisho inayoweza kumpeleka mwanafunzi elimu ya juu (degree).
Je wanachukua ile GPA ya semester ya pili ya...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa mwenye kujua anuani na eneo ambalo ndio ofisi yake ilipo
1. Katibu Tawala Dar es salaam
2. Afisa Elimu Sekondari Dar es salaam
Nataka uamisho wa shule sasa hizo...
Hello guys, kuna course moja nimeipenda ila cha ajabu huko nchi za wenzetu hawana internship ila hapa kwetu Tanzania wanafanya intern. Vipi kama ukisoma unaweza fanya intern bongo au watafanyeje...
Mwenye kujua kama inawezekana kusoma Degree ya pili (Masters) kwa mwenye GPA ya 2.6.
Na kama inawezekana utaratibu upoje? Na je huyu mtu mwenye GPA ya 2.6 anaweza kupata Scholarship?
Karibuni...
Nimetokea kitm college ,ngazi ya cheti sasa nimeapply chuo kingine kusoma diploma ambacho ni NIT so nataka kujua uwezekano huwa upo wa kuingia coz na G.P.A ya 3.9
Naomba mnisaidie Kichwa cha Habari kinachofaa kuandika kwenye barua ya rufaa kwa waliokosa mkopo.
Msaada tafadhali
Link ya Appel iliwekwa mwanzoni kabisa baadae ikatolewa kwa wote. Ili u appeal...
Habari zenu wana jamvi, natumaini wote mu wazima.
Je, Kwa mtu aliyesoma Certificate in Record Management Degree anaenda kusoma Course gani?
(Nimejaribu kutafuta sijaona Bachelor in Records...
Miaka hii dhana ya vijana wanaotoka chuo kuambiwa wajiajiri imekuwa kubwa sana, hii ni kutokana na ukosefu wa ajira.
Nikiwa kama mhanga wa ukosefu wa ajira nimeona bora nijiongeze nisikae tu na...
Habari wana jf,
Naomba tusaidiane mawazo kuna mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini akifanya stashada katika masomo ya uhandisi wa umeme na elektronik mwaka wa tatu, awamu ya tano yaan amebakisha...
Ipi kozi nzuri yenye uwanja mkubwa wa kujiajiri na kuajiriwa? Nataka niapply mwakani kati ya Clinical Medicine na Biomedical Equipment Engineer
Naomba ushauri wenu wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.