Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari, Nilimaliza kidato cha sita katika shule fulani hivi hapa Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita. Baada ya miaka kadhaa leo nimeenda shuleni hapo kwa dhumuni la kuchukua cheti changu hicho...
0 Reactions
4 Replies
999 Views
Ukweli ni kuwa hii tasisi ni kero kubwa kwa wanafunzi kutokana na usumbufu wanaopata wanafunzi na wazazi. Wanafunzi walishajaza maombi lakini Bodi sasa imeanza kuleta masharti kama mganga wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hili tatizo linanichanganya sijui chanzo ni nini. Ninasoma chuo ninamaliza mwaka wa kwanza nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo tangu nimeanza chuo chenyewe lakini nikifanya mitihan nafaulu vizuri...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Watanzania wangekuwa mbali sana kama wangalijua English mapema, Leo hii watanzania wangetapakaa dunia nzima, kama wasomi na wajasiriamali, pia mfano walimu wengi wa Kiswahili China na Europe si...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa inasambaa sana. Kwamba kama mwanafunzi ana supp kwa course ya afya (Nursing) anarudia mwaka. Je hivi ni haki kwa mtu kuwa na supp moja bila discontinue halafu anarudia mwaka?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo: - Law - Journalism - Public administration - Social Work Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau tujuzane juu ya hawa Loan Board kuhusu wale appellant. Maana hatujui kama kuna batch nyingine tena au kama haipo. Maana watu bado tupo njiapanda.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau naomba kama kuna mwanachuo,lecturer au graduate yoyote kasoma IT,computer science au engineering, telecom anisaidie notes za computer electronic nina shida nazo wapendwa tuinuane jamani.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Assalam wakuu, Nnimehitimu B Degree ya Finance and Banking (3.6 GPA) miaka kadhaa iliyopita na sasa niko private firm nasukuma gurudumu kibishi as accountant. Kutokana na salary kuwa kiduchuuu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nisaidieni hili swali, account for contribution of social differentiation in the formation of state in different parts of world
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimemaliza chuo mwaka huu pale Mbeya University of Science and Technology. Bahati mbaya nilikuwa na Sup ambayo nilifaulu ila system ya chuo ilisumbua kwenye kuweka matokeo yangu. Baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni jaman mnieleweshe kuhusu QT na Reseater sielewi kuwa kuna utofauti gani hapo
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Kwa wanaofahamu mnisaidie, kati ya ATC na DIT chuo kipi wapo vizuri kwenye course ya Biomedical Equipment Engineering?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu? As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naomba kujua vigezo vya kuwa Assistant Lecturer. Ninafanya kazi mahala ila napenda sana kufundisha chuo. Nimeona tangazo wanataka Assistant Lecturer vigezo ni GPA zaidi ya 4...
2 Reactions
60 Replies
18K Views
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayejua mahali Bookshop ya vitabu vya hesabu vya A-level hapa jijini Mbeya ninaomba anijuze! Ninatafuta vitabu vya Tranter, Shayo na Backhouse
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama unahitaji vitabu na past-papers za cpa tz basi ondoa shaka, Vitabu vyote vipo kasoro B6, C2 na C3 Tembelea website hii CPA (T) RESOURCES
11 Reactions
20 Replies
12K Views
Ushauri jamani, hivi kati ya Motor Vehicle Mechanics (Automotive Mechanics) na Auto Electronics ipi ni course nzuri? Naombeni msaada hapo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, msaada kwa yeyote anayefahamu chuo kinachotoa online degree.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello JF members, Naomba ushauri, nimesoma Diploma ya Ualimu wa Sekondari nikiwa na GPA ya 3.2 kwa masomo ya Maths na Chemistry. Je, ninaweza kujiendeleza Chuo Kikuu kwa course tofauti na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom