Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chadema jitahidini kuondoa tofauti ndani ya chama hizo ni nyufa au tundu dogo katika neti ambalo mbu akipita anaweza sababisha mtu kufa na malaria, zibeni matundu ondoeni nyufa kuepuka hawa jamaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWENYEKITI mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET) na mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Siasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesifu kampeni za aliyekuwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana JF, na wapenda maendeleo kwa ujumla. Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu kwa ushiriki weni huku kwenye mijadala ya humu JF na naomba tuendelee na mjadala huu. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naanza na 1-Robert Simon Kisena-Maswa 2-
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kipo tayari kukutana na serikali, chama au taasisi nyingine yoyote itakayotaka kujadiliana kuhusu hatua yao ya kutoyatambua matokeo ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kila mara nazikia hili neno "mzingira mazuri kwa uwekezaji" kutoka midomoni mwa vio-ngozi "wetu" watanzania.. mimi kwa kuangalia jinsi mambo yanavyokwenda hili neno kwa "vio-ngozi" (viongozi) wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
By Waandishi wetu 20th November 2010 Achochea walibwagwa ubunge wakatae matokeo Pia wa udiwani, aagiza wote wafungue kesi kortini Gharama zote za mawakili kubebwa na CCM Yusuf...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani naomba aliyekaribu na JK amjulishe kuwa sikufurahishwa na haya yafuatayo na ndio sababu namuhukumu kama alisema hivyo ila atatenda sivyo. 1) wakati wa kusherehekea kupewa kwake urais...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HATA Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa hakumung’unya maneno amelisema wazi kuwa vijana wanaichukia CCM na ndio waliifanya ipoteze majimbo hayo 58 katika uchaguzi uliopita. Akamwomba Pinda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane...
0 Reactions
233 Replies
17K Views
:A S-confused1:Hivi naomba kujulishwa mfumo wa uongozi nchini tanzania Nikianza na awamu ya pili hadi hii tuliyo nayo nikwanini wanaochukuwa madarakani huwa wanawaona waliokuwa viongozi enzi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema Wilfred Muga Katibu wa CCM vijana Musoma Mjini ameuawa na majambazi leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa njiani kutoka Kigoma Kuelekea Mwanza. Mwenye...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Tumeandamana kupinga maamuzi ya nec kumtangaza Kikwete kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,, Chadema haina ugomvi na CCM, bali inaugomvi na Matokeo na uchakachuaji uliotokea Kipindi cha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The country is eagerly waiting for President Jakaya Kikwete’s announcement of his new Cabinet, in which he is expected to make significant changes to his old line-up, swapping the holders of some...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Tumeshaongelea sana suala hili lakini sichoki kudai tena serikali ya Tanganyika au mfumo mbadala wa muungano. Ule wimbo wa kero za muungano uliokuwa unapigiwa kelele na wazenji sasa hausikiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama bado una kumbukumbu na hotuba ya JK aliyoitoa mara baada ya kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; hivi majuzi tu, aliahidi kuwasiliana na NEC ili kuona uwezekano wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumeanza katika uspika, tutawapata wapi akina mama wa kushika nyadhifa zifuatazo.... 1. Jaji mkuu 2. IGP 3. Mkuu wa majeshi 4. Mwenyekiti NEC 5. Gavana wa BoT 6. Mkurugenzi - Usalama wa taifa 7...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom