Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
  • Closed
Mbunge wa Jimbo la Urambo mashariki Samwel Sitta akisalimiana na Mbunge wa Same Mashariki Anna Kilango. Samwel Sitta Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki na Spika wa bunge lililopita ambaye...
0 Reactions
223 Replies
62K Views
yyyyyy
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilijiunga na chama cha mapinduzi baada ya kumaliza shule nikiwa na matumaini makubwa na chama changu, nimeendelea kuishi kwa matumaini nikijua kuwa matatizo yaliyoko hapa nchini yanatokana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kweli ninasikitika sana ninapotizama siasa ya nchi hii. Wizi unapewa Baraka zote na mwenye haki harusiwi kuhoji. Wameiba hela,kura lkn bado wanalindwa na katiba. Ni Aibu tupu Pamoja na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chadema tumewachagua kutuwakilisha bungeni na wala siyo vinginevyo......wasipokwenda bungeni kwa visingizio vyovyote vile hapo watakuwa wanamkomoa mpigakura na wasifikiri tutawachagua...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Wadau nini kimetokea kwa CCM mkoa wa Dar es Salaam kutangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika tano?. Kiufupi katika siku chache ambazo nimeangalia Channel Ten taarifa ya habari nimekutana...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..? PIA wengi wanaogopa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tutatoa picha hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyopita.Ndugu zangu Watanzania wenye uchungu na nchi tuwasiliane ili kuweka mikakati mipya ya kufanya maandamo hapa.Nchi ya Tanzania inaitaji tiba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkanganyiko wa matukio kabla na baada ya uchaguzi TZ umenikumbusha ujumbe wa waziri wa mambo ya nje Denmark. Katika mkutano wake na wasomi wa chuo kikuu (CBS), Waziri huyu aliulizwa ni kitu gani...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
aNGALIA HAWA WABUNGE WA ULAYA. UTACHEKA. .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Greetings dear friends! For sometimes it has been alleged that Mr. Mengi has been targeting a prominent Tanzanian Businessman Mr. Yusuph Manji for purely personal reasons and vendettas. In the...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakawaambie: Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why? Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili. Wahisani: Leteni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Vipo vyombo ya habari vinajaribu kuishawishi jamii kuwa kitendo cha wabunge wa CHADEMA kususia hutuba ya JK si cha kiungwana. Lakini jamii inamtazamo tofauti kabisa na hawa vibaraka na wa mafisadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UFAFANUZI ZAIDI TOKA KWA DR SLAA KUHUSU MTILILIKO MZIMA WA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI NA KUSUSIA HOTUBA YA NDUGU KIKWETE by George Maige Nhigula Jr on Saturday, November 20, 2010 at 11:18pm...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani watanzania wenzangu. Naomba tusijifanye vipofu na viziwi wa kutokuona na kusikia na kuchambua mambo. Hii inaonyesha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo na udhaifu wakuchambua mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Post maoni na maswali muda huu tutawauliza kwa niaba yenu wanaJF
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika baadhi ya mabango ya CCM nimeona moja ambalo linaonyesha jinsi rais alivyo mtu wa watu, baadhi ya mabango yanaonyesha rais akiingia katika nyumba za vikongwe pia akikutana na baadhi ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
I am among the sitta fans but i really wonder what he must be going through right nowcoz it's politics that removed him from the speaker's seat and kept there a person they know will fever them...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Siamini Itakuwaje kama kweli CCM dar wakiruhusiwa kuandamana kupinga wabunge wa Chadema kutoka bungeni, je Chadema wakitaka kuandamana kuunga mkono wabunge wao wataruhusiwa??? Natamani sana...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Teh teh teh nimefurahi sana baada ya kupekua magazeti ya leo na ghafla nikakumbuka gazeti lililokuwa linaongoza kwa itifaki na suala zima lademokrasia lakini lipo wapi siku hizi?kuna waliosema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom