Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
27 April 2010: Fighting broke out and smoke bombs and eggs were thrown as Ukraine's parliament tried to ratify a controversial deal with Russia extending the lease of a naval base.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa mbunge aliyeshindwa amehamisha samani pamoja na kitasa cha ofisi ya mbunge.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Gazeti la Majira linatuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Spika Mstaafu ambaye ana elimu ya sheria amefafanua kuwa Chadema wanayohaki ya kisheria kumkataa JK................... Hii inaondoa mashaka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu wana jf, wabunge wa chadema wapo sahihi kususia hotuba ya mkuu wa muungano,kwani ukisoma katiba vizuri (Ibara ya 41 Ibara ndogo ya 7 ya katiba yetu inakataza matokeo ya urais kuchunguzwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mchezo wa karata,mtu anapata ushindi kutokana na atakavyomfanyia timing mpinzani wake. Kadiri unavyokuwa na mahesabu mazuri ndivyo unavyomuweka mpinzani wako kwenye wakati mgumu na huenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nina ushauri kwa Mh Sitta, he is obvious not comfortable na hali ya mambo huko CCM, mimi namshauri afanye maamuzi ya busara kwa sasa maana navyoona hawezi kupigana akiwa ndani ya hilo kundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeisoma weeee, nimeona peke yangu siiwezi... Nsaidieni afu tuichambue taratibu. Usiogope hilo jina la BWM limeandikwa kimakosa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha leo ya kuwa Mheshimiwa Mbunge wa Monduli ametofautiana na JK kuwa yeye anaamini nchi itangulize elimu kwanza badala ya kilimo kwanza..... Lowassa amkosoa...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
Kuimarisha Demokrasia Mheshimiwa Spika, Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeshuhudia kukua na kustawi kwa demokrasia nchini....yaani demokrasia ambayo inahakikisha kuwa CCM itabaki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soma hizi habari tatu kwa makini, kisha naomba maoni yako:- "Wabunge wa Chadema walikataa bungeni Pinda asiwe Waziri Mkuu na pia chama hicho hakimtambui Jakaya Kikwete kuwa ni Rais halali wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Seif akipata shida imekwisha wengine wakionewa hilo si tatizo kwani mambo ni tofauti. Tanzanian opposition legislators walk out over accord Posted by africanpress on April 9, 2008...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukweli usiopingika watu wengi siku hizi wanazungumzia matukio ya Chadema Media zote Mitaani Viongozi mfano kina Chiligati kuwafukuza wabunge wa CDM Tafiti nyingi zinaongelea Chadema Wanafunzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Suala ambalo limetawala maongezi ya Watanzania wengi kwenye social media kwa leo ni kitendo cha wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kususia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete wakati...
0 Reactions
138 Replies
10K Views
Hii ilikuwa th. 8 June 2006 RAIS Jakaya Kikwete amesema nchi haitaongozwa kwa matakwa ya watu wenye madaraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watch this video:David Bismark: E-voting without fraud | Video on TED.com Tunataka uchaguzi wa kutumia system kama hizi ili kuondoa marumbano
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika gazeti la leo la Mtanzania limetuhabarisha ya kuwa Jaji Mstaafu Mark Bomani amehoji kuhusu Dr. Slaa kukataa kuyatambua matokeo ya kura ya Uraisi huku akiyatambua yale ya wabunge na...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
asilimia 80 ya watanzania wapo vijijini kwa kuwa hata asilimia kubwa ya sehemu ya nchi bado ni vijiji, tuna uwakika wa kulima na kuuza mazao ndani na nje ya nchi, kilimo kwanza ndiyo sera sahihi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanadamu wapo katika jinsi ya kike na kiume. Utambulisho wa jisi hizo upo katika maumbile (uke na uume -maumbile yanayotoa tofauti za msingi). Hivyo ndivyo walivyoumbwa. Ili kuendeleza uumbaji huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom