WAZIRI wa zamani Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Mnyambi Simba, huko nyuma amewahi pia kutoa kauli zenye ukakasi akimshambulia mfanyabiashara (Mengi kuwa sio mwanaCCM )na mmoja wa...
Wakuu wa kazi naomba mnieleweshe nataka kujua kwanini tokea huyu mama aapishwe speech yake ya kwanza anasisitiza kanuni..jana wakati wakuahirisha bunge amesisitiza tena mkasome kanuni.....ana...
wanajukwaa leo naingia rasmi jukwaani naomba mnipokee, nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali jamvini kwa muda mrefu, nimeona nami kuna haja ya kujisajili ili nipate nafasi ya kushare mambo...
JK ameweka record nyingine mpya:
1) Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa kura chache kipindi cha pili
2) Rais wa kwanza kukimbiwa na wabunge almost 50 bungeni
Wabunge wa chadema ndio hao wameshaingia bungeni....napia wameanza kuingiza pesa kwa vikaoo wanavyoingia...watu huku mitaani wameshaandaa shida zao...jamani ndugu zanguni tuwaache kwanza wabunge...
Dr Slaa amesema kupitia mahojiano yaliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari leo kuwa maandamano nchi nzima yapo na yatatumiwa na wananchi kama njia ya kudai kura zao zilizoibiwa na CCM na JK...
Hivi hawa CUF wana nini jamani? nimeshangaa na kitendo chao cha kukimbilia viti vya Chadema mara tu Chadema walipoamua kutoka ukumbini, Hivi wanaringia nini huu umoja wa kitaifa ulioundwa...
Haki ya Mungu naapa, Tanzania yetu imekwisha.
Hivi kweli UDOM wamefikia hapo walipofika? Naomba kuwauliza, hivi mliwahi toa tamko lolote kuhusiana na ufisadi ambao umekuwa ukifanyika serikalini...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
Mimi ninawaasa hasa Watumishi waserikali wote waliopo madarakani kuachana na kujihusisha na ushabiki wa siasa!!hasa waliokwenye vyombo vyenye maamzi yasiyokuwa rasimi na yaliyokuwa rasimi!!Siasa...
Wandugu, hivi JK kikwete alikuwa anatoa ujumbe gani jana wakati wa hotuba yake? alisema hivi: Hao kina chadema (waliotoka), watatoka na watarudi, mimi ndiye rais wao, wakitaka kitu chochote...
Wakitoka nje jana wabunge wa chadema,waliobaki walikuwa wakiimba wote ccm.maana yake hawakujua kuwa kulikuwa kulikuwa na cuf, nccr, udp, na tlp au wamethibitisha kwa hao ni ccm b.mimi naamini...
ALIYEKUWA kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni katika Bunge lililopita, Hamad Rashid Mohamed amewashambulia viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwataka wawe na msimamo...
Nimetumiwa Taarifa hii kutoka Dodoma ya kuwa pamoja na Mheshimiwa Pinda kuwatomasa Chadema Bungeni kuwa mbona wamemnunia na hawampigii makofi lakini hizo gheresha wabunge wa Chadema hawashtuki...
CCM wangetenda haki kwa watanzania haya yasingekuwepo haya ndiyo matunda ya kuiba kura za wananchi au (kuchakachua) sasa ona wanashangaa nini kuhusu wabunge wa CHADEMA kutoka nje ya bunge kama...
Katika hotuba yake kwa Bunge Rais JK alisema mimi ni Rais tu anayeondoka atarudi tu.Sasa kwa Rais makini ni vema ujiulize kwanini unakataliwa?Jibu pekee ni kukaa na wahusika ujue sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.