baada ya wabunge wa CUF kususia hotuba za Rais wa Zenji miaka iliyopita na Maalim Sefu kuwa na mazungumzo na balozi za USA na EU na matokeo yake ni miafaka hewa na mwisho ni maridhiano ya kuunda...
hawa CCM wananini hivi unadhani CHADEMA wajinga kumkataa KIKWETE hata kama umeshinda kwa kura chache basi onyesha ukweli na sio kufuata ujinga mwingine sasa yanamtokea puani wabunge tumewachagua...
niliamka kuwasikiliza hao waheshimiwa haswa nikitaka kusikia wanasemaje juu ya CHADEMA kususia KIKWETE Bungeni. Lakini cha Ajabu DW hawakugusia kabisa. BBC sikuipata kupitia Redio washirika. Kuna...
Kama kuna kitu CHADEMA wanatakiwa wawe makini ni kutumia vizuri raslimali zitakazotokana na wabunge wengi walio nao kukijenga chama. Please, msile mtaji, pelekeni hizo raslimali mikoani zikajenge...
( Makala Hii Imechapwa Kwenye Raia Mwema juma hili)
Na Maggid Mjengwa,
KAMWE huwezi kuyazuia maji yatokanayo na chemchemi kwa kumwagia mchanga. Na kuna namna mbili za mwanadamu kuula mkate...
JF,
Kila nikifikiria kitendo walichomfanyika mwana siasa mkongwe Sitta si cha ki ungwana kabisa, Sitta amekulia CCM na amefanya mengi sana kuifikisha CCM hapo ilipo, leo hii CCM ina ubavu kweli...
Jamani, kina Maalim Seif walipopata uongozi tu kwenye selikali ya zanzibar, wamefumbwa mdomo na wamekuwa rafiki mkubwa wa CCM. imagine kama Dr.slaa angepewa uwaziri mkuu na kikwete, mbowe naye...
Wadau. Mi naomba tujadili strategy gani na za msingi ambazo Chama Kikuu cha Upinzani Bungeni Kinatakiwa kutumia kuhakikisha 2015 nchi hii inatawaliwa na chama cha wazalendo. Tafadhari toa mawazo...
Nimejaribu kupitia katika mitandao ya mashirika maarufu ya habari kama allafrica dot com, BBC Swahili, Reuters, AP na Xinhua lakini sikupata taarifa zozote juu ya yaliyojiri bungeni jana kuhusiana...
Ni ukweli usiopingika wala usio na mashaka kwamba hali ya CCM waliyofikia ni utata mtupu, makundi yanazidi kuwatesa CCM, nA PIA KWA MIAKA 5 IJAYO HAKUNA MABADILIKO TUNAYOTEGEMEA.
Licha ya hivyo...
Kuna mambo manne ambayo yananifanya nitofautiane na wengi ambao wamewatabiria akinamama wa bara Uraisi 2015 au hata mmbara mwingineyo yeyote yule. Kwa mtazamo wangu hili kamwe halitatokea. kwa...
naamini ni haki ya wananchi kuonyesha pia hisiozao kuwa hawakufurahsihwa na uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi uliopita.
mkwere hatapata shida hapo mjengoni tu, anasubiriwa na ZOMEA ZOMEA...
Wanabodi,
Kama kawaida wananchi kama mimi, tupatapo nafasi huwa tunajituma mpaka mjengoni ili kuisikia live kwa naked eyes baadhi ya mijadala muhimu. Ndivyo ilivyokuwa kwa jioni ya leo...
Wana JF,
Kwanza natanguliza samahani kwa wale ntakao kuwa nimewakwaza ila inanibidi nisema hili kwani linanigusa sana,
Moja Kabla ya Uchaguzi kulizuka sana minong'ono kuwa kuna UDINi basi...
UTANGULIZI na (Muzo,Shalom,Deusdedit)
Katika kutafakari maisha ya watanzania tokea uhuru mpaka hapa tulipofikia 2010 nawaza naona pich ambayo watanzania wanatakiwa kuwa nayo nitofauti na iliyopo...
All a Man needs is a patient woman to stick by and watch his dreams fall into place and to quit nagging. Do you think she knew he would become the US president at this time? I dont think so, but...
Kama sijaridhika na matokeo ya raisi mwaka huu, lakini nikayakubali, uchaguzi ujao wakachakachua tena sikuridhika lakni bado nikakubali, mwaka huu sijaridhika, na sitaki kuyakubali nifanye nini...
Amesema atakuja kuongea na nyie kuhusu mgawanyiko wa kidini uliokuwepo.
Sina uhakika kama mlishiriki nae kuunda huo udini kiasi cha kuja kuwauliza namna ya kuumaliza, maana kama hamkushiriki...
From Dr Slaa FACEBOOK PAGE
Cesc Fàbregas | Facebook
Wabunge wetu wamechukua uamuzi mgumu sana, uamuzi ambao unataka ujasiri na uthubutu wa vitendo. Ni lazima tuelewe kuwa mgogoro uliopo siyo...
Wafadhili kuendelea kuifadhili Serikali ya JK ni aibu kwani ndio wanaosisitiza demokrasia hivyo kumfadhili Rais anayelalamikiwa watakuwa na lao jambo na nchi yetu.Hivyo ni vema wamshinikize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.