Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tulisikia Mh. Spika wa bunge la Jamhuri wa Tanzania akisema kuwa wabunge hao wataapishwa mwezi wa pili kutokana na sababu ambazo hazieleweki, kwanza kabisa wabunge hao wametangazwa kuwa washindi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema. Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Baada ya jana kutoka kwenye Bunge wakati JK alipotaka kuanza kutoa hotuba yake ya kuzindua Bunge, next move iwe kama ifuatavyo: 1. Wabunge wa Chadema bila kuathiri kanuni za Bunge wasiwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Michuzi anadai kikosi hiki kikosi ni dream team, je watanzania tutegemee kitu gani kutoka kwa viongozi hawa? sioni sura mpya hapa, mwendo mpya, kasi mpya..........
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nadhani kuna matatizo makubwa kwa washauri wa JK. Kama rais (wa NEC) anazungumza vitu vidogo na vilaini kuna haja ya kukaa bungeni na kumsikiliza kweli? Anapozungumzia ujenzi wa vyuo vikuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
From the beginning of multiparty system, majority of Tanzanian intellectuals and political analysts favor a two-party system, a political model predominant in the US and the UK. This political...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haitoshi haki itendeke, lazima idhihirike kweli imetendeka Hidaya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Many people including foreigners have viewed their views on Maalim Seif decision to concede defeat to Mohamed Shein. Majority of them praise Maalim Seif for his decion by showing that he is a...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Yesterday, CHADEMA’s members of parliament walked out of the parliament building boycotting Kikwete’s inaugural speech. I have been following comments from different people within jamiiforums...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Development is about improvement not perfection cause there is no perfection in this non-perfect world. Katika JF tunategemewa kuwa great thinkers tusaidie policy makers kukaribia perfection ili...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zinaingia kuwa jengo linaweka moto Posta Mpya mjini Dar .. la Malaseko!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Lile tone dogo la maji walilo anzisha wapiga kampeni wa chama cha mapinduzi mwaka 1995, wakaliacha lenyewe na kuliongezea mwaka 2000, sasa limekuwa kubwa na litaleta ghalika baada ya kulichochea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When the presidents makes a statement it goes down with a huge impact 2 society.. Je ni kwel Tanzania kuna udini? Na kama upo,je ni kwa kiwango rais anachokishkia bango? Mbona yeye 2? Why? Je hal...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Marekani waipa pongezi kwa mabadiliko ya kisiasa Z'bar Tuesday, 10 November 2009 07:07 SERIKALI ya Marekani imesema kuwa imefurahishwa na uamuzi wa CUF kuachana na msimamo wake mkali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
0 Reactions
721 Replies
53K Views
Huyu dogo siku zote alikua mstari wa mbele kuleta choko choko za muungano akishirikiana na bosi wake Rais mstaafu wa visiwani. Hii exposure anayopewa ya ulaji kwenye serikali ya JMT itasaidia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa Watanzania milioni 5 ameahirisha Bunge kwa hotuba iliyojaa unafiki,majigambo,uongo na ahadi kemkem zisizotekelezeka hadi hapo Tarehe 8,Februari,2011. Ukweli ni kwamba Hotuba hii imeacha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Asante kikwete kwa kutukumbuka mana sisi tunaonekana wachache Asante kwa kutuunganisha na kutuweka katika mamlaka ya juu Sheni Seif Mohammed Gharib Bilal, Shamsi Vuai Nahodha Zakia Meghji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom