Asalaam aleiykum ndugu zangu wa JF?
Mimi sikumuelewa siku ile Mama yangu Anne Makinda alivyomjibu Tundu Lissu kuwa ile hoja ya Waziri Mkuu haikupelekwa Bungeni na Serikali wakati alimwita...
Mambo machache tu kati ya mengi yaliyoipelekeaa ccm kuwa chama cha upinzani karatu.
1.Mwaka 1995-2000 kipindi cha kwanza cha Dr.Slaa alifanya kazi yake katika mazingira magumu kwani viongozi wote...
Jamani ninayo feelings mbaya kwamba huyu rais wa mchakachuo ataifikisha nchi pabaya hii miaka mitano. Sijui kwa nini najisikia vibaya hivi! Huyu jamaa ataacha nchi iko kweli hali mbaya ya ubaguzi...
Jamani kwa muda wote nimekuwa nafuatilia hizi kelele za kambi ya Upinzani na hasa lawama kwa Chadema kuunda umoja wa pekee yao na kuacha CUF na TLP nk .Bora hapa UDP wangalisema lakini vyama...
Mh.Pinga alikejeli kitendo cha Wabunge wa Chadema kutoka nje wakati Rais akihutubia kwa kusema ni geresha na kuwa wameenda kuangalia kwenye luninga.Mh.Pinda hivi nyumbani kwako ukamuudhi mwanao...
CUF ni chama cha watu watano ambao CCM iliwaainisha na kujua kuwa walikuwa wanataka madaraka tu basi. Watu hao ni Maalim seif, Prof Lipumba, Juma Duni, Jussa na Hamad Rashid. wengine wote kwenye...
Nipo hapa Lumumba napata kifungua Kinywa lakini pia naangalia kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kutoka Startv. Mwendesha kipindi Pascal Mabuga anang'ang'ania kwamba kwenye Jf wanauponda uamuzi wa...
Chadema kimeundwa. Msione vyaelea.
Ask you fake president why is he keeping boasting about udini?
Anajuta kuleta udini kwenye nchi isiyo na udini.
Amepanda. Anavuna alichopanda.
Nilisoma humu JF barua iliyokuwa na maelekezo machafu ya kuhujumu uchaguzi kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Nimeitafuta tena ili nipate kiambatanisho katika waraka wa kudai utaratibu...
Wakuu,
Tukio la kishujaa la wabunge wa chadema kususia hotuba ya jk jana bungeni limekuwa na mwitikio tofauti miongoni mwa wananchi mitaani. Katika pitapita yangu mitaani nimegundua kuwa wananchi...
Maoni toka: MTAZAMO HALISI: Athari ya Chadema kutomtambua rais
Kwa mara ya kwanza imejitokeza kwa bunge la Jamhuri ya Muungano kupata mshtuko mkubwa baada ya wabunge toka chama cha Chadema...
CHADEMA yawaumiza vichwa CCM Mpanda
Viongozi wa jumuiya tatu za CCM wilayani Mpanda, mkoani Katavi wamezuiliwa kufika kwenye ofisi za chama hicho kwa ajili ya usalama wao, kwa kile kinachodaiwa...
Kama wabunge wa Chadema wamegelesha kwa kutoka kwao nje ya Bunge kwa nini yafuatayo yalimkuta JK:
1. Kupigwa na butwaa na kubaki mdomo wazi,
2. hotuba nzima imejaa kukosea maneno ambayo ni...
Nimekuwa nafuatilia kwa karibu sana hii ishu ya CHADEMA Kutomtambua Kikwete. Baadhi ya wananchi wakiwemo wasomi(sina uhakika kama ni wengi) wamekuwa wakipinga kitendo hicho, na sababu kubwa...
Sources hizi zinahusika!!
1) Matokeo ya Uchaguzi wa 31.10.2010-Sheria za Uchaguzi na Wabunge wa CCM Waliobebwa kuingizwa bungeni "Kupita Bila Kupingwa", na vituko vya jinsi na mbinu walizotumia...
Mbunge wa Monduli, Edward lowassa anadaiwa kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete amrejeshe katika Baraza la mawaziri, imefahamika.
Lowassa ameomba kupatiwa nafasi ya kuongoza wizara yta mambo ya nchi...
Kwa muda wa miaka 20 sasa,trend Tanzania imekuwa ni kukuza viongozi wa CCM kwa sifa za kusadikika au za kimuonekano zaidi.
Kikwete alikuzwa kama mtu wa watu,tumaini jipya,raisi wa vijana,damu...
Baada ya kususia hotuba ya JK sasa operesheni sangara ya ghafla kufanyika nchi nzima.. Hii surprise na aksante kwa wananchi wa TZ... Watakaa kikao ili waweze kutueleza wananchi jinsi gani kura...
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.