Brazil vs Tanzania: Tofauti kati ya uchaguzi wa Oct. 31
Tafakari,
Tanzania na Brazil zote zilifanya uchaguzi wa Rais siku moja ya Jumapili, October 31, 2010.
Tanzania ina population isiyozidi...
- Well, uchaguzi uliomalizika umetoa mafundisho mengi sana kwa maoni yangu mojawapo ni kwamba wanawake ni lazima wapewe nafasi katika vyama vyetu vya siasa, sio siri kwamba wanawake wengi...
Hivi kura 9 za kuchagua Spika kuharibika ina maanisha kuna wabunge mbumbumbu au wakorofi au vilaza au msamiati mzuri ni upi jamani? Ivi awa wabunge walioharibu kura tukiwapa kutunga sheria...
Habari WanaJF
Nimeangalia wajumbe wa CC CCM na kugundua kwamba imejaa mafisadi
Na hiki ndicho chombo chenye influency katika hicho chama .Kwa maana hiyo hata Rais au Mbunge kama anaenda...
Nyerere alikuwa na mawaziri 23. Mwinyi alikuwa na mawaziri 33. Mkapa alikuwa na mawaziri 49 JK juzi tu alikuwa na mawaziri 59 na tuliona ufanyaji wa kazi wa serikali ulivyokuwa. Wana JF naomba...
Wadau wa JF, Habari za weekend!
Naomba mnijuze mjuao: Jana Jumamosi nimesoma gazeti la mwananchi; topic inayosema Sita Avunja Ukimya ambamo Mheshimiwa Spika, Anne Makinda, amenukuliwa akisema...
Nimekuwa nikifuatilia na kuichunguza video inayoonesha JK akianguka pale viwanja vya Jangwani siku ya uzinduzi wa kampeni wa Chama Cha Mafisadi.
Kabla ya kuanguka, JK alianza kwa kutamka maneno...
Kwa press release iliyotoka USA kuwapongeza watanzania kuhusu kuendeleza kuchagua viongozi kupitia mfumo wa vyama vingi bila kumpongeza Jk nina uhakika akiambiwa na Obama karibu chai atagoma. Sasa...
Tumeona hatua ya kwanza ya uchaguaji wa viongozi wa awamu mpya...lakini hili ambalo linatokea bungeni sasa hivi siyo la kulikalia kimya hata kama hatuwezi kubadilisha ila tunaweza kuongena wakajua...
MTASHANGAA sana enyi ndugu zangu. Nasikia sasa kaulimbiu imebadilika ghafla. Sasa tunaambiwa kwamba ‘wanawake wanaweza,' utadhani kuna aliyewahi kubisha.
Nasema wacha tu niijadili...
Na. B.OLE,
Baada ya kumaliza kwa sakata la uchaguzi Visiwani kinachoendelea sasa ni mdolongo wa kazi unaowakabili watendaji wa Serikali hasa Rais pamoja na makamo wake ambapo kwa mara ya kwanza...
Tanzania Elections
Obama congratulates government
By POLITICO STAFF | 11/12/10 7:14 PM Updated: 11/12/10 7:17 PM
Close Email this ArticleObama congratulates government
Please enter your...
There is some how a general consensus that the presidential results announced by both NEC and ZEC doesnot truerly reflect the wills of the people. Despite that general consensus, there are varied...
The Civic United Front (CUF) said on Saturday that it will not join Chadema in forming an alternative government of the Official Opposition in the National Assembly, unless all opposition parties...
Sijui kutawaliwa sana na wakoloni kumetufanya kutozingatia kukusanya jamii na kuwa kitu kimoja na badala yake kuzingatia kutawanya watu kutokana na misingi ya itikadi , jinsia,kabila,koo,rangi,na...
Nitaanza kwa utani tu. Katika nchi mmoja ya Ulaya watu wameruhusiwa kutembea na bangi lakini kwa matumizi ya binafsi (personal use). Hivyo kuna jamaa akahamua ku-import container nzima la bangi...
Civic United Front:
Established : 1992
Founder : James Mapalala, Hamad Mlo
Rised : 2000 Under the leadership of Professor Ibrahim Lipumba/ Seif S. Hamad
Fall : 2010 Under...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.