Neno chakachua leo hii linajulikana kama njia ya Kikwete na CCM kujipatia idadi ya kura rasmi za NEC zaidi ya kura halisi walizopigiwa na wapiga kura. Lakini hasa asili ya neno Chakachua ni nini...
Nimethibitishiwa na mtu mzito aliyepo Kilombero kuwa CCM walitaka kumhonga aliyekuwa mgombea mbunge wa Jimbo la Kilombero, Regia Mtema, Shilingi milioni 200 ili akubali matokeo bandia ya kura za...
Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine,
Hana jeshi,
Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba,
Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya...
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama...
Wajameni mie nashangaa hawa wenzetu wenye kuongelea muungano wa vyama vya upinzani katika chaguzi na kuishi maisha ya usaliti; Je, watafanya hivi mpaka lini? Hebu tujiulize CUF wanasema ati...
Waheshimiwa,
Kesi ya Zitto Kabwe mwaka juzi ilileta ubishi pale aliposimamishwa kwa kanuni za bunge. Pamoja kwamba tulibishana nchi nzima lakini Anna Makinda kama naibu spika alitetea kwamba...
1. conduct or activity that playfully causes petty annoyance.
2. a tendency or disposition to tease, vex, or annoy.
3. a vexatious or annoying action.
4. harm or trouble, esp. as a result of an...
hii wadau nimelisema mahali Kama comment.
Binafsi nahisi inaweza kuwa kwa sababu moja kuu:
Kitendo cha kuwa na makamu wawili kwa zanzibar ni very strategic kwa ccm maana kwa bahati mbaya shein...
Cuf sasa ni kama lap top ya ccm bungeni itakayotumika kupitishia hoja
zake mbofu mbofu juu ya mstakabari wa taifa, kwa kweli cuf sasa hawawezi kupindua
mbele ya ccm ambayo ni kama mume wa cuf kwa...
NIMEMUONA MAALIM NDANI YA BENZ 2 NA V8 ULINZI MKALI ALIPOTEMBELEA OFISI ZA CUF UNGUJA.AMEAHIDI KULETA PIA SERIKALI YA SHIRIKISHO BARA KAMA ILIVYO ZENJ SASA!source ITV
Kwa kweli hatua ya kumchagua Anna Makinda hivi (hongera sana) karibuni yanikumbusha namna hadhi ya Bunge na ya lugha ya kitaifa kitakavyokuwa kitaboreka ikiwa tungeachilia mbali desturi ya kutumia...
Makinda ashangaa mafisadi kusafishwa
na Godfrey God, Iringa
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anna Makinda amewakoromea baadhi ya...
Nimekuwa najiuliza, kwa nini tume ya uchaguzi isiandaliwe kikatiba mazingira huru kutoka vyombo vyovyote vya serikali, yaani serikali inatenga bajeti nayo tume anajipanga kwa kutanua elimu ya...
HEADS of State have continued to send congratulatory messages to President Jakaya Kikwete for being re-elected in the just held general elections.
A statement issued on Saturday by the...
Mapema leo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Samuel Sitta amemuomba radhi Naibu wake kwa kutumia neno "kukurupuka" alipomtaka asiongoze mjadala muhimu wakati alipotaka kwenda Marekani.
Wana JF, itakumbukwa kauli za baadhi ya viongozi wa ccm ni ile iliyobainisha kuwa chama hicho kilikuwa na mtaji wa kura milion4 za wanachama wake kabla ya uchaguzi mkuu 2010. Pamoja na yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.