Chama Hakijui Kimeshinda Huko Zanzibar na Wanafikiri Wamependelewa Ushindi Huo. Fikra za Maskini Ndizo Zinaisumbua CUF na Watanzania Tumeshagundua Wamenunuliwa na CCM. Upinzani Atuhitaji CUF na...
Badala ya CCm kuwadhibiti na kuwaua watu wao maarufu kisisasa nadhani ilikuwa bora kujijengea sifa kwa wannchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha, kupunguza ufisadi na kusimamia fedha zinazopelekwa...
Jamani ebu tujadili kidogo, hivi kweli rais aliyechaguliwa na wananchi milioni 5 miongoni mwa wananchi milioni zaidi ya 45 anawezaje kutembea kifua mbele!!!! Kwa binadamu mwenye akili timamu...
Kitendo cha Kamati Kuu ya CCM chini ya uenyekiti wa Dokta (asiye na PhD) Jakaya Kikwete kupitisha majina matatu ya wanawake pekee na kulazimisha Spika ajaye awe mwanamke kwa kutumia wingi za kura...
Wanajamii,
Ni ukweli usio fichika kuwa CCM haikutegemea kilichotokea October 30.Kwa mtazamo wangu CCM walipata kura chache sana ukilinganisha na matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi.Ilikuwa...
Karibuni kwenye blogu ya marafiki wa chadema Gonga Marafiki wa chadema - Friends of Chadema wale wote wenye mapenzi na chama hichi wanaopenda kuchangia maendeleo yake , kutupa habari picha na vitu...
Mara baada ya uchaguzi mkuu, Chama cha Demokrasia na maendeleo kimeibuka kuwa ndio chama kikuu cha upinzani nchini. Juhudi za viongozi wa CHAMA hicho si za kubezwa. Kiuhalisia viongozi hawa...
Nimevutiwa na hoja ya Makamba kwamba safari hii kamati kuu ya CCM iliona ni vyema kupitisha mwanamke kwenye nafasi ya uspika sababu ni wakati wao na kwa kuwa tangu uhuru hatujawahi kuwa na spika...
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika,
Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono...
asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: hivyo basi wenzake ati...
ni joseph selasini wa rombo. lengo lilikuwa kujiepusha na lawama za kumbeba mramba mwenye kesi ya ufisadi. mramba alikuwa mshindi halali wa jimbo la rombo
huko vunjo nako mshindi halisi alikuwa...
Bosi Takukuru atakiwa ajiuzulu
MBUNGE mteule wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amesema hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kumsafisha Mwanasheria Mkuu wa zamani wa...
Hii ni taasisi ambayo nathubutu kusema inaiangusha serikali machoni pa watawaliwa na inawalinda vigogo ambao enzi za mwalimu tengewaita wahujumu uchumi machoni pa sheria za nchi. Ili waponde nchi...
Mkapa kalewa au kapotoka?
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa
03 November 2010
Tafakuri
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa si mtu
anayependa kusema au kuhojiwa,
lakini pale anapofanya hivyo huzua...
Kusema kweli nimetafakari sana nimeona bila hatua za makusudi za kunusulu maendeleo ya jimbo langu la Kongwa wananchi wataendelea kurudi nyuma wakati maeneo mengine wanasonga mbele kwa kasi ya...
I have a question which is troubling my sincere thoughts!
Our country established a law to control and monitor campaign expenses by the parties, presidential, mpship, and councilor candidates and...
naona watu wanalalamika sana hapa jamvini eti Chadema waungane na CUF, naomba nitajiwe wabunge watano wa cuf wanaotaka kuungana na chadema......
Kwangu mimi huu ni muda muafaka kabisa kwa chadema...
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia...
Wadau kuna jamaa kanihabarisha kuwa leo asubuhi Mh. Dr. Slaa alionekana akipokewa na RSO wa ubalozi wa Marekani pale ubalozini. Bado hajafahamu nini kilizungumzwa katika mkutano huo.
Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.