Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dear Dr.Slaa Natumaini haujambo na pole udharimu wa CCM dhidi ya kura zako na wagombea ubunge wabunge wa chadema.Mimi nimesikitika sana na matukio ya kifisadi yaliyofanywa na CCM na wagombea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule Mwanasiasa machachari wa mageuzi Mpiganaji Mabere Nyaucho Marando, amechukua form ya kugombea Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano kupitia CHADEMA. Pamoja na yeye kuna vijana wengine kama...
0 Reactions
197 Replies
16K Views
We have plenty of Confidence in this country, but we are a little short of good men to place our Confidence in". Will Makinda make it as a next Tanzania Speaker of the parliament? i hope jazba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika ukurasa wake wa Facebook, Zitto ameeleza kuwa sekretariet ya CHADEMA imeamua kutumia Westminster system katika kumpata kiongozi wa upinzani bungeni. Kama wametumia Westminster system kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jina halisi J.J. nimejiunga chadema mwaka 2004 baada ya kukaa na kadi yangu ya NCCR Mageuzi kwa takribani miaka 10 ivi....... nimekaa kando kwa muda murefu sana kuwasiliza wenzangu, lkn kwa sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Nimesikia wapuuzi wa ccm wakiongea tunaitaji bunge la spika mwanamke,...kiila nikiangalia najiuliza huyu kweli ni mwanamke??kwa waliokuwa wakifwatilia bunge waliona mambo aliokuwa akifanya mpaka...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Uchaguzi umekwisha lakini yaelekea maumivu ndiyo kwanza yanaanza kusikika kwa wapiga debe wa CCM jijini mwanza ambao waliahidiwa kila mmoja Tshs 50, 000/= kwa kazi nzuri ya kuimba na kuhudhuria...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KUFUATIA TAARIFA YA SFO KUHUSIANA NA ISSUE YA RADAR KUWA UCHUNGUZI UNAENDELEA NA HAKUNA CONCLUSION ILIYOFIKIWA HUU NDIO NDIO INABIDI UWE MSUMARI WA MWISHO KWA JENEZA LA HOSEA. JK AKIENDELEA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TANESCO likiwa moja ya makampuni machache ambayo bado serikali inayamiliki kwa njia moja au nyingine. Kampuni hii ilitakiwa ijiendeshe kwa faida sana ukizingatia ime-monopolize hii huduma ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilishawahi kumsikia Bwana Sita akijitapa kuwa yeye ni Chuma Cha Pua. Alikuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio. Sasa mafisadi wamemfanyizia. Ninamuomba bwana Sita aoneshe uzalendo wake kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Unaweza kumjua nani ameshinda na nani ameshindwa katika picha hii ??
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Nasikia orodha ya vitu maalum CCM imetoka. Je, Ephraim Kibonde yumo??
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kama kuna mtu anaejuta dunian ni mama batilda buriani wakati zitto kabwe akiwa ameshatoa alioyatoa huyu mama akaamkaa na kuomba sheria ifwate kijana ahukumiwe kweli jamaa letu likaingia line mara...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker Thu Nov 11, 2010 * CCM says party wants female speaker * Sitta had encouraged graft debate in parliament * Seen as thorn in the side of CCM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wanabodi, Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Anne Kilango alipewa nishani ya heshima ya Martin Luther King na serikali ya Marekani kwa michango yake ya kuboresha utawala bora hapa nchini...............na mara tu alipoipata hiyo nishani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wana jf tunaomba mwenye taarifa ya mwenyekiti wa chadema iringa mjini ndg kapwani aliyeuza jimbo kwa lukuvi azianike kwani kuna tetesi kuwa amepalalyize baada ya kusikia chadema imechukua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom