Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Picha ya JK ukutani imetoka safi sana. Heshma kwa Kiongozi wa nchi ni lazima kwa wote!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa Zitto Kabwe anagombea nafasi ya kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni. Taarifa zaidi, watch this space!
0 Reactions
232 Replies
19K Views
WanaJF nimejiuliza maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu. Inakuwaje Rostam na uwezo wote alionao lakini bado anapigana kuwa mbunge wa IGUNGA, wananchi wa IGUNGA wamenufaika na nini kwa rostam...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Unaposema kuwa lengo ni kuwa na spika mwanamke yaani unaangalia jinsia badala ya sifa na uwezo wa mtu, huu si ndio ubaguzi wa kijinsia ccm ikijifanya kuhupiga vita kila siku??? Je kesho akitokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunasoma maandiko matakatifu kitabu cha Waamuzi habari za Samsoni alivyotoa siri ya asili ya nguvu zake kwa mke wake mfilisti [Palestine] mrembo Delila.Delila alitumia udhaifu wa Samsoni hadi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kati ya mambo ambayo yamenichafua roho katika mwezi huu ni haya mambo ya uchaguzi. Awali sikutaka hata kwenda kupiga kura nikiamini kuwa kufanya hivyo ni kupoteza muda wangu, sijui ni roho gani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Bi. Anna Makinda. Bi. Anna Makinda (Pichani) amechaguliwa na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi kwa kura 211 kwa ajili ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waliobwagwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WWW.UADILIFU.BLOGSPOT.COM Wakati natafuta tafuta Blog za Kudumisha maadili nimekutana na hii blogu Mpya www.uadilifu.blogspot.com Imenivutia kwa makala zake zenye nia ya kujenga kizazi chema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...Kwa ivo wakaona kama hachukui, bora waweke the LESSER EVIL!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamba asiwaone watanzania watoto wadogo. Ni kweli kwamba tangu uhuru mihimili hii mitatu yaani Bunge ,Serikali na Mahakama hazijawahi ongozwa na mwana mama. Kwa lengo jema hilohilo aliloonyesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa nini rais anaapishwa Tanzania? Miye naona ni kupoteza wakati tu, na ni kutekeleza 'routine' tu. Maana ya kiapo ni kuwa pindi rais anapokiuka hicho alichokiapa, mahakama itakuwa na dalili. Pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source: Yahoo friends Kuna table of results za kura zimenichanganya, nitazileta tena zikikaa sawa
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Wanajamvi- After what has been a hard-fought election (somewhat riggid) ever to happen in Mainland Tanzania. Many were left wondering if Tanzania will ever be the same again. It is interesting to...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zikibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia? 2 -(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa mambo yote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi mafisadi waliliona hili kuwa bado maamuzi ya Sitta pale kanuni zilibaki bubu zitatumiwa na anayemfuatia? 2-(1) Bila ya kuathiri masharti ya Katiba, Kanuni hizi zitatumika kwa mambo yote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna jipya? Kuna sura za kuboa kama ilivyokuwa? Nani PM? Size ya baraza je? Binafsi sitarajii jipya kabisa.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Diwan wa viti maalumu ccm wilayan kilosa mkoa wa morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukamatwa na pikipiki ya wizi kamanda polisii alisema diwan huyo alikamatwa nov 9 asbh huko wilaya ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.Spika atakayelinda maslahi ya mafisadi. 2.Spika ambaye hataruhusu mijadala aina ya richmond,epa,meremeta,tangold,mikataba mibovu ya madini,vitalu vya wanyamapori n.k..... 3.Spika ambaye yuko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Sitta amekamatwa kwa tuhuma ya kutaka kutoa rushwa na TAKUKURU mkoani Tabora. Sitta amekamatwa na fedha zaidi ya millioni moja na bahasha za kaki 140 na simu za mkononi aina ya Nokia. Sitta...
0 Reactions
95 Replies
14K Views
John Komba Vicky Kamata SUGU/ Joseph Mbilinyi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom