I have a strong feelings kuwa Marando anaweza kushinda uspeaker hasa kutokana na karata za CCM kwenda ndivyo sivyo why
Makundi matatu yatampigia Marando
1.CHADEMA
2.CUF,TLP and NCCR
3.CCM...
Siyo siri kwamba Mhe. Sita ameleta mapinduzi makubwa kwenye utendaji wa mojawapo ya mihimili ya uongozi hapa nchini. Chini ya uongozi wake wa bunge watanzania wengi wamepata mwamko wa kisiasa na...
Kuendeleza katika topic ya Jenerali ulimwengu kuwa CCM walishajifunga magoli matatu, yote yakifungwa na Makamba; (Hat trick), naona sasa Makamba anaongeza goli la nne kwa kusimamia kuondolewa kwa...
Sitta, Chenge watupwa Send to a friend Thursday, 11 November 2010 00:16 0diggsdigg
Mr Samwel Sitta akiwa ameshika kichwa
Habel Chidawali, DodomaKAMATI...
Kabla ya kufikiria namna ya kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi hili la umasikini kimsingi lazima tuanishe STRENGTH NA WEAKNESS zetu hii ikiwa ni pamoja na kuangalia fursa zilizopo ambavyo zinaweza...
Mwaka huu wataumwa matumbo ya kuharisha mpaka basi.
Serikali haina hata wiki ilishaanza kusafisha mafisadi; na kuumbuliwa within the same week. PCCB wanaipaka mavi serikali ya JK just on the...
Duuuuuuuuuh kweli dunia tambara bovu, Kwa maoni yangu Sitta si mtu wa kunyimwa uspika katika bunge hili ila kwa kitendo cha Chenge kuandaa press conference ya kumponda sitta tena kwa taarifa...
Ule wakati niliokuwa nausubiri sana sasa umefika. Hoja ya Dr Slaa kuwa wabunge wana maslahi makubwa sasa ni wakati muafaka wa kuipigania. Natarajia wapo wabunge ambao watahakikisha na hata kususia...
Uteuzi wa CCM kwenye kiti cha mkuu wa bunge unaweza kuwa ni nafuu kwa upinzani. Sisi hapa ni watu tunaofikiri beyond today, tuache kulalamika sana kuwa walioteuliwa watabana upinzani, what am...
Haya madudu ya sasa hivi ya CCM – yaani kujichanganya na kwa Mkuu wa kaya kuonekana kukaa kimya bila ya kauli yanaonyesha kwamba kuna vigogo wengine, mbali na Chenge na Dr Rashid waliopata...
Kutokana na PCCB kuonyesha dhahiri wanamfanyia nani kazi na kwa njia zipi baada ya Waingereza kuweka mambo peupe, ni wakati muafaka wajitokeze tena na kuwaomba watanzania msamaha, baada ya hapo...
Asiye na masikio aweke visoda!
HABARI NDIO HII:
AKIONEKANA kuguswa na mambo yanavyokwenda ndani ya CCM kuhusu upatikanaji wa mgombea uspika wa Bunge la Muungano, Mbunge mteule wa Maswa...
TUME ya Taifa ya Uchagzu (Nec) imetangaza kuwa uchaguzi wa wabunge katika majimbo saba ambayo haukufanyika Oktoba 31 mwaka huu, utafanyika Jumapili ijayo.
Kwa mujibui wa taarifa iliyolewa na Nec...
Wadau nimesikia hizi habari kitaa (not from a valid source) kuwa Kikwete kikatiba ana nafasi kumi za kuteua wabunge awatakao, kumbuka mwaka 2005 alimteua Kingunge Ngomable Mwiru kuwa mbunge. Kwa...
Wananchi tukiwa tayari mwaka huu tuwasaidie wanawake wakamilishe mapinduzi yao katika madaraka kwani uspika ndo huoooooooooo na wakaze kushinikiza jaji mkuu akiondoka mwakani basi na kti hicho...
Napata hasira kusikia tumeteua majaji,wabunge na sasa wagombea uspeaker kwa misingi ya upendeleo kwa wanawake.hii haisaidii chochote kwa maslahi ya wanawake wenyewe na taifa kwa ujumla.serikali...
mwaka 1982 ndio nilijua CCM vizuri maana wakati huo mwalimu nyerere alikuja kijijini kwetu wakati ambao mwambao wa ziwa nyasa kulikuwa na dalili za kuingia njaa. mwaka 1985 nikawa chipukizi wa ccm...
Wakuu,
Dada yetu na mwanachama mwenzetu (hapa JF) Regia Mtema kapitishwa kama mbunge kupitia fursa za viti maalum kwa tiketi ya chama chake (CHADEMA). Nilisikitika ulivyopigana kupitia siasa za...
Kwa wanachedema,
Umakini zaidi unahitajika kuongoza chama wakati huu mgumu na tete. Mgongano wa mawazo kati ya Zitto, Mbowe na hata kundi la wanachama wapya waliojiunga chama hivi karibuni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.