Kulikoni hapo jameni? Mbatia analia na Chadema!! Mzee wa Nji hii nae vivyo hivyo!! Hivi kwanini na wote wako jahazi moja?? kuna siri gani iliyo sirini hapo???:thinking:
PCCB Chombo kilichoundwa kwa ajili ya kuzuia na kupambana na rushwa kimekosa rasmi uhalali mbele ya macho ya watanzania kwa kuwapamba wala rushwa. Kwa mara ya kwanza PCCB iliwasafisha Richmond...
Cabinet mpya hii hapa
Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa...
I am not in any way disputing the qualities of Mabere Marando, just simply posing the question of the best most likely candidate who could win uspika wa Bunge. This is Chadema's opportunity to...
Kama mnavyofahamu hivi sasa kampeni za uchaguzi wa udiwani zinaendelea nchi nzima. Chaguzi hizi ndogo zinatokana na waliokuwa wakishikilia viti hivo ama kufariki dunia au kupoteza sifa za...
Sitegemei kama tutaona Bunge lenye viwango vyovyote wakati huu, ni dhahiri kwamba kwa uteuzi huu wa "bora tukose wote" ni kuwapa nguvu tena mafisadi kujipanga upya baada ya kujeruhiwa vibaya...
Wazee naona inabidi kusoma 'between the lines', CCM sio wajinga kumwambia Chenge agombee Uspika wanajua attention yenu yote itakuwa kumkataa Chenge, kumbe kuna mtu wao mwingine kajificha atakuja...
UKISHANGAA nguvu ya mafisadi kuhakikisha wanamuweka speaker atakayewalinda, UTAZIMIA ukisikia baraza la mawaziri. Kwa mwenye kusoma nyakati ameshajua kina nani watakuwa mawaziri, kina nani...
Jamani nahisi kila mmoja wetu ni shahidi wa kazi ya bunge iliyofanyika na bunge lililopita chini ya mheshimiwa Samuel Sitta.
Bunge lililopita lilifanya kazi nzuri na hasa ile ya kuruhusu mijadala...
CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone...
Picha hii hapa chini inaweza kufupishwa kwa neno moja tuu - UNAFIKI. Eti Chenge na Sita wanatabasamu kabla ya kikao cha jana kilichowatupa nje wote!!!!
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best...
Mambo kadhaa sasa yanaonyesha kuwa watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu ndani ya CCM na TZ kwa ujumla.Mfano katika uchaguzi mkuu ulioisha wameripotiwa kuwakampenia baadhi ya wagombea na wamepita...
Ati umefika wakati wa mwanamke kushika muhimili mmoja wa dola. Ratiba hiyo anayo nani? Ikiwa ipo, tuambiwe basi ni lini CCM imepanga mwanamke awe Jaji Mkuu. Si vibaya pia, CCM ikatanabaisha ni...
Omary Yusuph Mzee,ni aliyekuwa Naibu waziri wa Fedha na Uchumi wa serikali ya awamu ya nne katika kipindi kilichopita,anatajwa moja ya watu makini katika uongozi na shughuli anazo fanya hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.