Out of Curiosity I looked at the tabulated data posted on this forum under the theme 'tathmii ya kina' and compared this with the published election results.
Interesting, the postings by JF...
Haya Ndugu zangu, huyu naye alikuwa na mtazamo wake wa kupigia magoti mafisadi, hii ni kabla ya matokeo rasmi kutangazwa na NEC,ukipata muda soma
By Jerry Okungu
Nairobi, Kenya
November 4, 2010...
Wale wazee wa kikao cha siri huko mjini mwanza kwaajiri ya kuweka mazingira mazuri ya CCM kushinda wameongea na watanzania,, kilamtu alikuwa akijiumauma na kusingizia publicity, ,hivi hawa watu...
Siku chache baada ya Uchaguzi kumalizika na sisi wana Kawe kumchagua Mbunge wetu Halima MDEE, Dawasco wameamua kutukomoa kwa kutukatia maji mfululizo.
Sio kawaida huku kwetu maji kukatika kiasi...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).
KURUGENZI YA BUNGE NA HALIMASHAURI.
TAMKO KUHUSU ZOEZI LA UCHUKUAJI WA FOMU ZA NAFASI YA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
Kwenye magazeti ya leo Dr. Shein kamteua Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Z'bar. Hivi atafanya kazi zote mbili? Au hii nafasi ya huku NEC ndio iko wazi? Ndio janja...
Sheria hii ya Uchaguzi ya 1984 Sehemu ya Kipengele chake ilikuwa inasema:
(2) The Electoral Commission may, for any reason which appears
to be sufficient, require that the votes in the...
Tumesikia mengi sana kati ya JK na Dr.Slaa! sasa tusubiri tuone hii vita ya Chenge na Samweli sita itaishia wapi kuhusu kinyanganyiro cha kugombea Uspika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TZ...
Jamani nawezaje kupata uraia wa Rwuanda? kama chenge atakuwa spika wa bunge la JMT na EL kugombea uraisi 2015 na RA kuendelea kugharamia mafisadi basi kiama cha Tanzania kimefika. Nahitaji...
"Watanzania ni watu wanaopenda umoja na amani" ukimsika mtanzania anayetamaka haya maneno ni wakuogopa sana. Hivi kuna amani na umoja gani wakati wengine hawana chakula cha kula hata kwa siku...
Wakati CCM wasema elimu bure haiwezekani na JK hata anadiriki kuwaponda wanaoidai ni ............"absolutely nonsense"........wenzetu wa Kenya ambao wapo makini siyo kama sisi tuliojaa bla-bla tu...
Inasikitisha sana kuona website ya tume ya uchaguzi inakosa matokeo rasmi ya uchaguzi licha ya maafisa mbalimbali wa tume hiyo kuyatangaza rasmi matokeo ya majimbo mbalimbali.
Wakati nafungua...
Nawashangaa sana viongozi !! Maaskofu na Masheikh...
Wanataka amani gani wakati rasilimali za watanzania zinaibwa kweupe?
Kwani nini hawa viongozi wa dini hawakemei maovu ya serikali...
KATIKA KUONYESHA KWAMBA HATA WAO HAWAWEZI KUBADILIKA WATOTO WA MAFISADI BADO WAMEENDELEA KUWA NA WAO MAFISADI AU WAMEENDELEA KUSHANGILIA BABAZAO JINSI WANAVYOHUJUMU UCHUMU WETU. MFANO, MIRAJI...
Wanabodi,
Uchaguzi umemalizika, japo ni kwa mtindo wa sadakalawe, mwenye kupata, kupata hata kama ni kwa kuiba, bado kapata tuu na mwenye kukosa, kakosa hata kama ni kwa kuibiwa, kudhulumiwa...
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine...
Chenge na Uspika
Suala la Bwana Andrew Chenge kugombea uspika limezua mjadala maeneo mbalimbali kama ilivyokuwa wakati kashfa ya radar ilipowekwa adharani (na kashfa nyingine zilizoibuka) na...
Mussa Juma,Arusha
KAMPENI za kumsaka Meya wa jiji la
Arusha, zimeanza mjini hapa baada ya
kumalizika uchaguzi mkuu na
wagombea wa vyama vitatu vya
Chadema, CCM na TLP wanatajwa
kuwania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.