Ni mesikia katika vyanzo vya habari kuwa kauli ya JK, amewaambia wananchi kuwa uchaguzi umeisha kwa ivyo sasa ni wakati wa kuponya madonda ya uchaguzi, aidha amewataka watanzania kusahau yote...
Kama Chadema watawakaribisha wapinzani wengine kwenye kambi hiyo Bungeni basi TLP iachwe kabisa kwani ni hatari kama UKIMWI. Mrema amekuwa akimpigia kampeni JK kwenye jimbo lake badala ya...
Nimesoma kwa masikitiko makubwa juu ya kile ambacho Chenge anataja kuwa sababu yake ya kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha 2010-2015.
Chenge...
Heshima kwenu wanajamvi,
Wakuu halmashauri ya jiji la Arusha itaongozwa na upinzani iwapo vyama vya CHADEMA na TLP vitaunganisha nguvu dhidi ya CCM yenye viti vingi.CCM ilipata viti kumi [10]vya...
Bunge la safari hii kwa kweli limevunja rekodi. Nadhani hatujawahi kuona Bunge lenye mchanganyiko wa watu wenye uwezo wa kuchanga hoja kama hawa. Sio tu kwamba wana uwezo wa kuchanga hoja, ila pia...
USHURU WA SARUJI IAGIZWAYO KUTOKA NJE KWA SASA NI 25%; na VAt ni 18%.
ushuru umewekwa kwenye saruji ili kulinda uzalishaji wa viwanda vyetu vya ndani; kwani Saruji kutoka nje inaingia kwenye...
Binafsi sikukupigia wewe kura yangu ingawaje niliwapigia kura wagombea wa chama chako ngazi nyengine.
Kampeni zako na za wapinzani wako ndizo zilizoniongoza kufanya hivyo.
Najua machungu...
Ni jambo la wazi kuwa Watanzania wengi waliokupigia kura mwaka huu 2010 wanahamu kubwa kusikia kutoka kwako juu ya shughuli zako za kila siku za kutuongoza watanzania katika kuiendeleza nchi yetu...
Ndugu wapenzi na washabiki wa Mabadiliko na Maendeleo, sote tunajua kabisa kuwa kuna sehemu CHADEMA imezulumiwa ushindi ktk baadhi ya Majimbo. mfano mzuri ni SEGEREA, BKB TWN, TRM, Kilombero...
Hata mwanangu wa miaka miwili anajua Lowasa ni fisadi.
Nilimuonesha jana kwenye TV.
Nikamuita: "mwanangu njoo uone fisadi kwenye TV". Akaja.
Hawa CCM tunawaweza. Ni suala la kuthubutu tu.
Uchaguzi umemalizika sasa na matokeo yameshatangazwa. Ma-Rais waliochaguliwa wameshatangazwa, mmoja alishaapishwa, mwingine bado ni mteule naye ataapishwa muda si mrefu (kama bado). Wabunge nao...
"blue"]Rais mteule wa Zanzibar amewateua wajumbe wanane kuingia katika baraza la wawakilishi litakaloapishwa hapo kesho, wajumbe 6 wanatoka CCM na wawili wanatoka CUF. Wajumbe hao ni Omary Yusuf...
Kwa kuwa mwaka huo watu katika jimbo likozaliwa waikataa CCM kwa kuchagua CHADEMA;
Kwa kuwaunga mkono ntafanya operation otesha miti katika kijiji nilikozaliwa. Shughuli ninategemea kufanya...
Kama ni kweli Maalim Seif alipata kura 211,000 na Shein kura 161,000 halafu wakakaa mezani pamoja na Seif akiwepo, ili kupanga namna ya kumpunguzia kura Seif na kumuongezea Shein ili kuipa ushidi...
MPANGILIO WA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE
MPANGILIO WA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE
TAREHE 8 - 17 NOVEMBA 2010
JUMATATU
08 Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.