Nimetoka kusoma thread ya Regia Mtema anasema "amerudi" kutoka Kilombero, apparently Kilombero si base yake ni sehemu ya kwenda wakati wa uchaguzi, na uchaguzi ukiisha ni muda wa "kurudi mjini"...
Jamani mmeskia jinsi mh. Mrema anavyomfagilia JK kuwa matokeo ni ya halali na hivyo Dr Slaa hana budi kuyakubali na wapinzani wasiyabeze matokeo hayo. Anasema JK amewaacha kwa mbali wapinzani wake...
Mgombea wa chadema aliyetarajiwa kuwa ktkt list ya wabunge wapya amelizwa na jamaa wa tume.
kwa habari tokakwa muhusika ni kwamba jina lake na picha yake vilionekana kama ni mgombea wa ccm. hivyo...
Some academicians and activists yesterday advised opposition political parties to resolve their differences and unite if they want to be better place to challenge CCM in the 2015 elections...
Tunashukuru uchaguzi umeisha salama bila vita au fujo kubwa. Kwa kuwa ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na mizengo hata kupelekea CHADEMA na wanachama, mashabiki na wananchi kwa ujumla...
Nafasi ya Uwaziri Mkuu haina mjadala na ya kuwa JK ambaye ni jemedari mpinga mabadiliko ataendelea na PM Pinda Mizengo ikiashiria ya kuwa hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba kwa miaka mitano...
Pamoja na mafanikio ambayo Chadema imeyapata katika uchaguzi wa mwaka huu 2010, bado CHADEMA kama ilivyo CUF kinakubalika sehemu moja ya upande wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kukubalika...
Habari kutoka Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dodoma, zinaeleza kuwa mwananchi mmoja aliyekipigia CCM kura katika Uchaguzi Mkuu uliopita amejifyeka nyeti zake kutokana na kile alichokieleza...
Methali hii inamaana kubwa sana,, na maana Hi ni kwa wale ambao waliboronga katika uchaguzi mkuu,, na walio shuhudia wenzao wakiboronga na kupata effects kubwa ikiwemo wengine kukosa Ajira yao...
The elections have come and gone and life is back to normal or so it seems. Every day there are millions of Tanzanians who wish work hard to make ends meet. Most of them are in their early 20s to...
Hope hamjambo wana JF. Naomba mwenye updates toka kwa Rais wangu Dk. Slaa anihabarishe kwani kwa mara ya mwisho nilisikia ataitisha press confr. Wengine tunakoishi gazeti la leo tunalipata baada...
Kuna wabunge/madiwani wapo CCM hawapendi kabisa mtindo wa chama chao wa "Penye uzia pitisha rupia". Lakini ni waoga wasio kifani. Na tuseme si wabunifu. Wanadhani wamezaliwa kuwa wabunge/madiwani...
Kutokana na matukio mengi na matatizo yaliyojitokeza katika uchaguzi huu 2010, nashauri tume hii ivunjwe na wizara husika wafikishwe mahakamani kwa uzembe au makusudi kwa maagizo ya CCM.
Hii...
Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya...
Malalamiko ya wanaharakati wengi na waangalizi wa kimataifa walisema kuwa watu waliojiandikisha na waliopiga kura kuna tofati kubwa sana. Yaani waliojitokeza ni wachache sana ukilinganisha na...
Napenda kusema kweli daima, fitina kwangu ni mwiko!
Uchaguzi umeisha na yaliyotokea yametokea!
Nchi hii siyo ya CCM, wala Chadema wala CUF, WAKITOKEA WAPINZANI WAKALIJUA HILO BASI HAPO NDIO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.