Urais: Dr Slaa 16,120 na JK 28,575
Ubunge: Emmanuel Nchimbi CCM -27,495 na Edson Mbogoro CHADEMA 17,495.
CCM wametumia system kupora ushindi wa CHADEMA Songea mjini.
Inasikitisha na inamaanisha kuwa CHADEMA watafute watu wenye mismamo katika chaguzi zijazo. Taarifa niliyoipata toka Tarakea Rombo hivi punde ni kuwa aliyekuwa ametangazwa diwani wa Tarakea (eneo...
Katika hali isiyo ya kawaida, wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), jana walilazimika kuweka itikadi zao za vyama pembeni na kuungana baada ya kupewa...
My Plan B is here:
Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
* New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
* Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume...
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanavyozidi kutangazwa imefahamika kuwa Chama tawala CCM kimepoteza m ajimbo 51 nchini kote.Meneja wa kampeni za CCM, Abdulrahman Kinana amekiri mbele ya waandishi wa...
nikiangalia katika mitandao ya kijamii, nikisiliza redio na vyombo vingine vya habari watu wengi wamechoshwa na ccm, utafiti wangu unaonyesha wanaoendelea kuikumbatia ccm ni watu wanaonufaika moja...
Vijana wetu wa jeshi la polisi mnausikitisha sana umma wa Watanzania. Hivi ni kwa nini mnakubali kutumika ndivyo sivyo. Mnapoamrishwa kuwapiga mabomu raia ambao wamekaa kwa amani na utulivu kwa...
For those few sane people out there who really want to see some real and lasting change to this country of ours we call Tanzania; you'll totally value what I'm about to say. But for those few ones...
Kama mnakumbuka wakati wa kampeni kuna vijana wawili walikuwa wanatafutwa na polisi kwa tuhuma za kumfalisha mbwa jezi ya CCM. Pichani ni wanachama na wapenzi wa vyama vya CCM na CUF wakiwa...
Mageuzi ni kila mahali mwaka huu. Obama jahazi linaenda mrama na anaweza asirudi 2012!..... na CCM tunaisubiri tuitose.
Can't wait siku CCM nayo itakaa bench then ndio mtie akili na mkome kabisa...
Makamba sio kiongozi ila mtapanyaji na kile anakiwaza ni uwaribifu and at the last ataaibika na kuumbuka. Ccm sio yake wala asifikiri ajenda yake yakuwatafutia wana ccm spika itafanikiwa bungeni...
Nadhani Tanzania kuna upumbavu na upuuzi usioweza kuelezeka. Kuna haja gani ya kumsubiri Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi aliyeko Dar es Salaam atangaze matokeo huku watu walikopiga kura...
Ndugu wana jf ,kila mtu atakubaliana nami kuwa kuna umuhimu wa kuanzisha operesheni 'utalii' kama ilivyokuwa operesheni sangara.nasema hivi kwa sababu mikoa muhimu ya kiutalii mfano Arusha na...
Yaani hata Hapa US wameanza kupiga kura za mid-term elections leo na matokeo ni leo leo. Tanzania watu wameanza kupiga kura Jumapili na hadi leo J'nne results za kueleweka hakuna. NEC mnapika...
Kwa mujibu wa habari ndani ya Mwananchi, Bwana Kinana amekiri kuwa CCM imepoteza viti 29 Tanganyika na 22 Zanzibar.
Anasema urais wanashinda kwa asilimia 78.4. Hii inaonyesha jinsi gani matokeo...
:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A...
Maoni ya katuni
Watanzania wengi jana walijitokeza kupigakura kuwachagua rais, wabunge na madiwani kwa amani na utulivu.
Tunawapongeza sana wananchi kwa kujitokeza kwa...
Ili NEC iwe huru na haki Bunge lijalo ambalo naamini sasa lina wabunge wakutosha kutoka vyama vya upinzani, washinikize WAJUMBE WOTE WA NEC WAPITISHWE NA BUNGE, PIA TAKUKURU, WASIPOFANYA HIVYO NI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.