Rose Kamili agoma kusaini matokeo
Tuesday, 02 November 2010 19:36 0diggsdigg
Mussa Juma, Karatu
MGOMBEA wa ubunge jimbo wa Chadema, katika jimbo la Hanang, Rose Kamili ambaye ni mke wa zamani...
NIMEFUATILIA KWA KARIBU MNO KAMPENI NA MCHAKACHO MZIMA WA UCHAGUZI ZANZIBAR, KWA MARA YA KWANZA CUF WAMEIBOMOA PAKUBWA NGOME YA CCM UNGUJA. TAFSIRI YAKE KUWA USHINDI KWA CUF ULIKUWA DHAHILI, SASA...
Wote tumeponzwa na uvivu wetu wa kupenda kujumlishiwa matokeo na Tume. Matokeo yake hata yalipochelewa hakuna aliyekuwa anaweza kusema fulani ana kiasi gani hata kufanya kauli "lete data" itawale...
Wana JF,
Napenda kuwapa habari zilizo jili mitamboni kwetu kuwa viongozi wa CCM katika wilaya hizi 3 Ilemela,Nyamagana na Arusha mjini.
Viongozi hawa watakuta katika majimbo yao na kujadilia na...
Kama kuna uchakachuaji wa kura basi wafuatao ndio watwishwe lawama zote
Hon. Retired Judge Lewis M. Mkame - Chairman
Hon. Judge Omary O. Makungu - Vice Chairman
Hon. Prof. Amon E. Chaligha -...
Mungu wetu;
Ulitupatia Tanzania na watu wake (nikiwemo mimi, na wengine), mbona sasa unaruhusu watu wako wapigwe mabomu kisa wamechagua UPINZANI? Je, wapinzani si wa Tanzania? Je, hakuna sehemu...
Kwa mahesabu ya haraka haraka upinzani kwa bara umeongeza viti vya ubunge kwa asilimia 383 kuacha viti maalumu(kutoka viti 6 hadi 29). Hi inamaanisha kwamba kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 upinzani...
Katika post za awali kuna mtu mmoja ameuliza swali hilo, mimi naona nimjibu kwa mtazamo wangu binafsi, kwa ufupi Dr Slaa ataingia Bungeni muda si mrefu, kumbuka huwa kunakuwaga na chaguzi mdogo...
Ni jambo lisiloingia akilini eti kikwete amemzidi Dr. Slaa hata kwenye majimbo ambayo wagombea ubunge wa Chadema wameshinda. Wananchi wengi mitaani wanashangaa na wanashindwa cha kufanya zaidi ya...
Nina anadika kama Mtanzania ninayeipenda sana nchi yangu na ambaye nimekuwa na kiu sana ya kuona matokeo ya kuwa na vyama vingi vya siasa. Kwasababu vyama vingi vya siasa vinawezesha kuwa na...
Habari nilizipata hivi punde kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni askari pale Arusha anasema kuwa hadi jana saa 2 asubuhi matokeo ya jimbo la Arusha Mjini yalikuwa tayari, lakini Batilda alikuwa...
Kutokana na mapinduzi haya ya Kihistoria ya Kisiasa kutokea katika nchi yetu nadhani sasa tunahitaji SPIKA MPYA wa bunge ili mambo ya KIUNDUGU NA KUJUANA KWA SANA iwe mwisho, Wabunge wawe huru...
Natumaini uchaguzi ulienda salaama huko tz. Hatuwezi kusema mengi, lakini ninachoshangaa ni kwamba Mheshimiwa Slaa toka uchaguzi umeanza hajasema kitu chochote kile. basi tunatumaini kusikia...
Hii itakuwa mwongozo mzuri sana kwa kulinganisha na huu uchakachuaji wa kipumbavu. Naungana na wale waliosema wangetamani kuwa ma sniper. Naamini ndicho dk waukweli na timu yake ndicho wanachofanya
Tunawaomba wanahusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambia kama haya matoke yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo mchafu...
Mimi wala sina haja ya kusubiri wantangaze...
Mtu ninayemtambua kuwa ni president wangu ni Dr. wa kweli. mkwere na ile chekacheka ni aibu eti jamani basi tu.. huwezi kumwita president..! Ni aibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.