Mimi siamini kama kuna mtanzania anayejua ni nani chaguo la watanzania katika kura za Uraisi na uchakachuaji umefanywa na NEC wakishirikiana na wasimamizi wa uchaguzi majimboni...
Kwa habari za tetesi zilizotoboka toka kwa umoja wa wakinamama ccm yasemekana kuwa hawakufurahishwa na ujio wa nakaaya na kwamba wanadai hamna nafasi ya binti huyo wa bongo fleva kuingia bungeni...
Jamani habari kutoka Makiungu Singida, mdogo wangu ambaye alikuwa mmoja wa mawakala wa Chadema anasema Lissu anongoza kwenye vituo vingi zaidi ya marambili ya mgombea wa CCM, Jonathan Njau...
Nimetaja CCM kwa sababu jana nilikaa na askari polisi pale ubungo kwenye vurugu ambaye alikuwa analalamika kuwa ucheleweshaji wa matokeo unasababisha vurugu lakini wa kulaumiwa ni NEC. Na walikuwa...
nasikia swala la ID card tanzania ni deal la bilioni 53 ndio maana kuna viongozi walioshindwa wanajaribu kuwarudisha kwanguvu ni kampuni ya kutoka nje europe wamepewa deal.wadau kama mnaijua...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini matokeo ya kura za Urais na dhahiri kuwa Kikwete anampita Slaa kwa mbali.
Bado nashindwa kuamini lakini tumepoteza mpaka sasa unless kama kuna mtu anayeweza...
Akihojiwa na ITV baada ya kutangazwa mshindi wa ubunge kwenye jimbo la Sikonge aliyekuwa Spika wa bunge SS ameuponda utaratibu wa NEC wa kuchelewesha matokeo kwa kisingizio cha teknolojia mpya...
Imeniwia vigumu kidogo kuona mgombea urais wa CCM Mh. Kikwete akimpongeza Dr. Shein then kisha anasema " serikali ya muungano tutashirikiana nawe"
Ni vema ikaendela kusemwa endapo nitashinda basi...
Kwa vituo takribani 52, 000 Chadema ilipaswa kutumia bilioni tatu kuwalipa mawakala kwa vituo vyote nchi nzima na kwa shilingi elfu hamsini kwa kila wakala.................kwa kutofanya hivyo na...
Wana-JF wapenda mabadiliko ya kweli yenye manufaa kwa nchi yetu hatuna budi kumpongeza kwa dhati kutoka ndani ya nyoyo zetu Dk. Wilbroad Peter Slaa kwa kazi nzuri na kubwa mno aliyoifanya kwa...
Jamani hawa jamaa wanaoitwa polisi wamepewa kura za kuchakachua matokeo wanapovamia kituo ambacho hakijatangaza matokeo yake wanakuja na kura nyingine ambazo ni feki then baada ya muda wa...
Wadau wanachama wenye mapenzi mema na CCM na wapiganaji wa kweli wa maendeleo ndani ya chama hicho wameanza mkakati wakumtaka Mwakyembe aombe uspika. Ila habari zisizothibika kundi zito la...
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:
Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa...
Baada ya ccm kutangaza nafasi wazi mbili; uspika wa Bunge la muungano na ule baraza la wawakilisi, kuna tetezi kuwa Lowasa anakamia nafasi ya uspika wa Bunge na anajiandaa kwenda kuchukua fomu.
Wakati tunazidi kusubiri matokeo yachakachuliwe!
Tukumbuke pia kuwa leo ni uchaguzi US. Ambako inasemekana Democrats watapoteza majority kwenye senate, hii ni kutokana na hali mbaya ya...
DAKIKA MBILI ZILIZOPITA 1610HRS
Ffu walikuwa wanakuja mbio kuwaadhibu washabiki wa chadema anatoglo
wakakutana na wafuasi wa chadema wanatoka na ushidni ikawabidi wao wasimame wakae pembeni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.