Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tunafuatilia zaidi matokeo ya ubunge na urais lakini kwenye viti vya udiwani vijana wamefanya kweli tofauti na ilivyokuwa chaguzi za nyuma ambapo wagombea walikuwa wazee waliostaafu. Mpaka vijana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nani ana habari za matokeo ya majimbo haya mwali? naommeni naona Kinana amesha-:israel:conclude ni majimbo 29 tu yameenda upinzani bara:israel::peace:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani, mwenye matokeo ya Mbeya Vijiji tujulisheni.:llama:
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari nilizopata usiku ni kwamba kuna nyumba takribani tano zimechomwa maeneo ya Nguruka baada ya matokeo ya awalu kuonyesha NCCR-Mageuzi inaongoza kwenye kiti cha ubunge. Eneo hilo ambalo limo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NEC walisema leo kuanzia saa tano watatoa updates za matokeo ya uraisi. Naomba ambaye amekuwa karibu na TV yake atujuze...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
hali ya uwanja wa utetezi bungen inaleta raha usipime, jaribu kuvuta picha, huku mnyika, huku silinde, huku g, lema, huku wennje,hukku mh. mrII, huku shibuda,kona hii mbowe, kona ile salakana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika halimisiyo ya kawaida CCM & CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushidi kwa pamoja, hii inaokekana ni katika kuthibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa wazanzibari wote.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
KULIKO JIMBO KUONGOZWA NA CCM NI BORA MUWEKE JIWE... Hii mwaionaje ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mdee 43,365 angela 34,412
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Selasini CHADEMA 29000+ Mramba CCM 27000+
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasemekana kwamba Wangekuwepo wanachuo huenda Mnyika angeshindwa, hivyo Mnyika asijidanganye kwa huo ushindi maana hautoi picha kamili kwa jimbo la ubungo kwani halijashirikisha wapiga kura wote
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hawa jamaa walikuwa watano tu, vipi vywa bunge viliwaka moto! mwelekeo wa sasa waonyesha upo uwezekano wakafika 100 (including viti maalum) Lakini hebu pata picha hawa jamaa wakiwa 50 tu, pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau CCM inaelekea ukingoni.Ushauri wangu mali zote ilizokua ikizimiliki si kihalali zitaifishwe na zirudi mikononi mwa serikali.Viwanja vya mip,majengo mbalimbali n.k.Hivi vitu vilijengwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi kwa hii trend ya matokeo hasa upande wa uraisi, ccm na shingo yao (NEC) wanataka kututhibitishia nini: kwamba sisi watz ni mazuzu tunaochukua almasi feki na kuacha halisi au kwamba wao ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari nilizozipata hivi punde zinasema yule mpinzani wa Mpendazoe yamemkuta makubwa baada ya kubambwa live na maboksi ya kura feki.... Ameshasombwa na polisi na sasa yupo kituo cha polisi...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Clouds mnajiandaaje kupokea ushindi wa Mr. II (Sugu) ?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema mgombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini Dr. Batlida anajipanga kufungua kesi mahakani kupinga matokeo hayo ya uchaguzi huo ambao umempa uwakilishi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Source channel ten sas hivi kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom