Huenda wafuatao wakawa wakuu wapya wa baadhi ya wilaya baada ya CCM kumaliza kuchakachua
Nakaaya Sumari
Efraim Kibonde
Flora Mbasha
Dr. Batilda Buriani
Philp Sanka Marmo
Sekioni David
Khadija...
Wananchi wa Tanzania naomba niseme hivi,Yote yamekuwa Tunamshukuru mungu nachotaka kuwashukuru watanzania wenzangu nikuhusu usikivu,Busara,Hekima,Unyenyekevu, yote nikuonyesha watanzania...
Ukisikia jina hilo la heahima hapa nchini Tanzania ...Muasisi wa CCM ...Lakini descendants wake wanajua hii sio CCM ile aliyoiasisi baba yao......Intelligent people thinks in this way ..hongera...
unajua bw, ka swali la kizushi vile, ila ni kwamba vyama vingine vya upinzaini vimepoa sana, kama wanasapot ccccccm vile, kwa mfano jana, Mr. ssseeef kule zenji was so happy shein alvoshinda and...
Ofisi ya ccm iliyopo Nera (airport road) jiji la mwanza ikiungua moto katika harakati za watu kudai haki zao tarehe 01.11.2010. Katika nyumba hii ndipo katibu wa CCM alichomwa kisu na meya wa jiji...
Baada ya aliyekuwa mbunge wa Mby vijijini kwa tiketi ya CCM ndg. Mwanjali kukataa kusaini matokeo ya uchaguzi kwa zaidi ya masaa 24 sasa, wananchi waliamua kwenda nyumbani kwake eneo la Iwambi...
Kwa ushindi huu, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume, Wanamuziki...
Katika hali isiyo ya kawaida hapa UNGUJA wanachama wa CCM na CUF wameonekana mitaani wakishangilia ushindi kwa pamoja. Wanachama wa CUF wanathibitisha maneno ya Maalim Seif kwamba ushindi ni wa...
Idadi ya kura za CCM katika uchaguzi huu ina represent jumla ya mafisadi na mambumbumbu wa Taifa hili.
Endapo Chadema tutashinda kiti cha urais tutumie takwimu hizi kuwashugulikia mafisadi na...
Maneno ya Silaa kuhusu kila mpiga kura alinde kura yake yamesaidia sana kuliko kuwamini mawakala wetu,Phsycologically was a good idea,thats why we get a good number of wabunge despite of their...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.