wana Jf nina mlaani kwa yeye kufanya jimbo hili lirudi mkononi mwa ccm.
matokeo ya ubunge ni kama yafuatayo
CCM 20,470
CHADEMA 8,056
CUF 5,833
Kwa mantiki hiyo ccm imeshinda kwa 58% na wana...
Baada ya kucheleweshwa kwa muda mrefu kutolewa kwa matokeo ya ubunge jimbo la Songea mjini,hatimaye Dk.Nchimbi atangazwa.
Sina uhakika kama kura hazikuchakachuliwa kama sehemu nyingine.
Hodi humu mjengoni!
Ukiangalia kwa haraka haraka na kujaribu kulinganisha, ni kama vile upinzani hasa (Chadema) umeweza kufanya vizuri katika maeneo mengi ya mijini na chama tawala kupata kura...
Kama kazi imekwisha hapo Ubungo Huyo sasa ni ndege wetu na Picha ya maendeleo imenijia machoni kwangu,
HOJA BINAFSI NI KWAMBA
Ujumbe wetu ni hakuna kulala. sasa majeshi yote twende kule Segerea na...
TuJIULIZA Je:
Tuipongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa...
Wananchi wenye Hasira Kali wameamua Kumruhusu Mheshimiwa Mramba kuhudhuria Mahakamani mara kwa mara bila kesi yake kuhairishwa tena kwa sababu za kisiasa.
Wakitoa uamuzi huo Wananchi wameamua...
Jamani fuatilieni inasemekana katika majimbo 47 yaliyotangazwa inaonekana Kikwete wa kwanza, Lipumba wa pili na Slaa wa tatu!! I doubt I really doubt, I was one among the wakala's na Slaa na...
Wana JF nisaidie kwa hili; Inasemekana idadi ya viti maalum hutolewa na NEC kwa chama cha siasi, kulingana na uwiano wa jumla ya kura za urais na wabunge walizopigiwa wagombea wa chama husika...
yadaiwa mgombea wa chadema alitakiwa kupewa mil. 270 alikataa. baadaye inasemekana ujumbe kutoka kwa jk ulikutana na mgombea wa chadema na kumuahidi kumpa bil. 1.2 aachie jimbo akakataa
Kwanza napenda Kuwashukuru watu wote waliokuja na Wazo la Kuanzisha Chama cha CHADEMA. Nasema hivyo kwa sababu katika Historia ya siasa za Tanzania,Ni Chadema pekee iliyoleta Mapinduzi Makubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.