Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna mtu yoyote anafahamu tumekamata majimbo mangapi tayari tujulishane JAMANI
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Inasikitisha kuona kuwa vyombo vya habari vinashindwa wanashindwa kutangaza matokeo ya kura za urais katika majimbo ambapo kura zimekwishatangazwa kwa kisingizio kuwa wanasubiri matokeo hayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama wabunge wa CHADEMA walikuwa 5 tu, na sasa wameshafika 16! Hiyo picha pale bingeni itakuwaje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanzoni NEC ilituahidi matokeo ya Uraisi yangelitangazwa Majimboni lakini baadaye NEC ikageuza utaratibu huo na kuamua yatumwe Dar-Es-Salaam ili wao wenyewe pale Dar ndiyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa waliona maji yameshazidi unga! Hapo inakuwaje
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Ndugu zangu watanzania, kama mnavyofahamu, NEC ilipoona mwelekeo wa matokeo ya Urais, mara moja walibadilisha kibao na kuanza kutangaza wenyewe toka makao makuu na siyo jimboni tena. Hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ukishinda sherekea kwa amani siyo kuanza vurugu kwawale uliowashinda polisi wakigeuka mtapata tabu badala ya raha, au ndo ulimbukkeni wa madaraka ? nawashauri walioshinda wawe watulivu waende...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanajF naombeni website ya chama chetu tafadhali Kwa nia njema wakuuu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF, Taarifa nilizonazo ni kuwa CCM imetwaa Majimbo mawili ambayo CHADEMA ilikuwa ikitegemea kuyatwaa. La kwanza ni lile la Mbeya Vijijini ambalo lilikuwa linagombwa na Shitambala (CHADEMA)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina hamu ya kujua kama fisadi Chenge na mwenzie MEMBE wamenusurika katika kimbunga hiki.
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Angalia Majimbo yafuatayo na Umuhimu wake kimkakati; Ilemela na Nyamagana - Mji wa Mwanza ndo capital of western Tanzania ukitegemewa sana na wakazi wa Shinyanga, Kagera, Mara, Kigoma na Tabora...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mufindi Kaskazini JK 28,500 Slaa 5004 Ubunge CCM bila kupingwa Mufindi Kusini JK 30,700 Slaa 3,841 Ubunge CCM bila kupingwa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
So far as it Stands, CCM = Viti 49 Chadema = Viti 14 :israel::israel::israel: CUF = Viti 11 Seats Wengineo( TLP, UDP NCCR n.k) = Viti 3
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kuwalazimisha wananchi waongozwe na mtu wasiemtaka haipendezi.wapenihaki yao walioshinda miaka bado ipo ukishindwa leo utajipanga next election utagombea tena.mbona watu wanarisiti mitihani hata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hebu sikia baadhi ya maneno aliyosema Lema wakati ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo la Arusha. "Wao wana pesa sisi tuna Mungu". Kwa kweli sikumuelewa alikuiwa anamananisha nini hapo. Wana JF...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hakuna mwenye habari yoyote kutoka Kawe? Mama anahitaji support,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na uvumi kuwa wapinzani ambao wameshinda wamekuwa wakiahidiwa pesa kabla ya kutangaza matokeo ili wauze kura zao.....hili jamani linanipa shida sana....je ni kweli wanahongwa hizo pesa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
- Asalam aleykum ndugu zangu Jamiiforums, habari za matokeo ya uchaguzi wa jana yana tia moyo kwa maana ya kwamba sio siri sasa kwamba wananchi wa Tanzania, wameanza kuamka usingizini na sio kama...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
nipo royola, Jamaa bado wanalalia matokeo, niko hapa hapa saa nne usiku, inaeelekea ccm wako hooooooi. mnyika yuko na detailed result kutoka kila kituo, sidhani kama wataweza kuchakua, utakua...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Tunaomba walio na mamlaka wawanyang"anye pasi za kusafiria kwani tuna mashtaka nao, tunataka kumfilisi na kumlisha nyasi mr mramba, chenge tumfilisi vijisenti na kumcharaza bakora kwa kutuaibisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom