Mimi binafsi nampongeza sana Dr. Slaa na CHADEMA kwa uamuzi wao wa kuwania uraisi, maana kwa kufanya hivyo, wameweza kutangaza chama na kuwanadi wabunge na madiwani wetu kwa mafanikio makubwa...
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza...
Kulingana na mwenendo wa matokeo ya kura za uachaguzi wa majimboni na ya uraisi,kuna kila namna ya sababu kulaumu juu ya ucheleweshwaji wa makusudi wa matokeo ya majumusiho majimboni.ukweli ni...
Huwa inaanza kama utani. Leo wanadhulumiwa kura zao tunasikia kuwa wanarusha chupa za maji. Lakini naamini kuwa hasira inavyoongezeka, kesho hizo chupa zitarushwa zikiwa zimejaa petroli, then...
Kura zinapohesabiwa vituoni na mawakala kuweka saini za kukiri kuwa matokeo ni sawa ni ushahidi unaojitoshereza kwa CHADEMA kutumia katika kufanya malinganisho ya kura zilizo kwenye karatasi ya...
kutokana na hujuma zinazoonekana kufanywa na tume ya uchaguzi kwenye matokeo ya urais, mhe john john mnyika mbunge mteule wa jimbo la ubungo na naibu katibu mkuu wa chadema tunakuomba uhamishie...
Mkuu wa MKoa wa Dar-Es-Salaam wa enzi zile aitwaye Chipungahelo au "Mama Chips" aliwahi kusema kwa kutamba.........."where Dar goes the nation goes......"
Kwa majigambo hayo hayo ni dhahiri...
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa...
Naomba sana tujue ya kuwa mapinduzi haya makubwa yanayoendele kutokea sehemu malimbali kwa wabunge wa CHEDEMA kupta ktk majimbo mbalimbali ni kwasababu ya SHUJAA mmoja ambaye alikubali kwenda...
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa...
Dk Shein akizungumza na wananchi wa Zanzibar mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Urais
Fidelis Butahe
CCM jana ilifanikiwa kunyakua tena kiti cha urais baada ya mgombea wake, Dk...
Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
Wakuu nasikiliza BBC hapa, tume inadai haijatoa matokeo mpaka sasa kwa sababu software mpya ya kuload data za uchaguzi inawafanya wawe too slow. Kwa hiyo wamekubaliana na vyama husika kutumia...
KIJANA aliyejulikana kwa jina la Matekele Mbayi mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 20, mkazi wa Manispaa ya Musoma, Mkoani Mara amefariki dunia baada ya kupigwa na wafuasi wa Chadema wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.