Kituo cha televisheni cha ITV kimeripoti fomu ya Uraisi iliyokuwa itumwe makao makuu haipiti kwenye fax machine na baadaye imegundulika siyo ile ambayo ni rasmi na hivyo imebadilishwa na juhudi...
Waha JF kwa habari za uhakika nilizo nazo toka Royola Mh Munyika ametangazwa rasmi kuwa mbuge wa jimbo la Ubungo kwa kura 56000 dhidi ya mpinzani wa CCM aliyepata kura 50,000.
Mungu ibariki Tanzania.
Nashanga kwanini matoikeo ya majimbo mengi ya mkoa wa Shinyanga yamechelewa kutangazwa.Na majimbo yenye nguvu kubwa ya upinzani-CHADEMA hayatangazwi kwa muda mpaka watu wachome moto majengo au...
JK may be on a treacherous path to retain his grip on national politics but the question remains through whose legitimacy...............his self-appointed NEC and the security forces or voters'...
Matokeo ya uchaguzi yaliyowapa ushindi Wabunge wa ccm mkoani Kagera na hasa kagasheki yamenihuzunisha sana ikizingatiwa huko ndo nyumbani. Wale wa kwetu, kuendelea na ccm bila wapinzani si ni sawa...
Nimeskia wakazi wa Mbeya vijijini wameandamana hadi Mbeya mjini kudai kuwa Mgombea ubunge wa CCM ambaye ametangazwa kuwa ni mshindi Hajashinda kihalali na FFU wanawatawanya kwa mabomu ya machozi...
Tume ya uchaguzi imepatwa kigugumizi wamekimbia katika kituo cha kuhesabia oysterbay na hawataki kutoa majibu mpaka hivi sasa ni saa 5 usiku nec wameingia mitini kinachoonekana wanataka...
Ukurasa Mkuu
Habari za Kitaifa
Habari za Mataifa Mbalimbali
Habari za Burudani na Michezo
Jiliwaze
Gazeti la Burudani
Gazeti la Mzalendo
Gazeti la Uhuru
Zilizojiri hivi Punde
Makala
Uchumi...
Nchi ,hii matokeo wanatangaza saa 7 usiku wakati kwenye vituo Peoples pawa wanaongoza!!! Aibu hiyo .ila ipo siku watanzania watataka haki zao wasichakachuliwe kura zao!
Kwa kweli mpaka sasa mawakala wa Chadema wameonesha moyo wa kizalendo wa hali ya juu sana kwa Tanzania. Kwani ni wakala mmoja wa Chadema kule Maswa aliyetoa taarifa ya mtu aliyepiga kura mara...
Nimependezwa sana na hotuba ya Mh. huyu mara baada ya kutangazwa kwamba ni mshindi wa kiti cha Urais, Z'bar.
Hakuwa na lugha ya kejeri, Hakuna kuzomeana kama CCM walivyozoea, Bila unifomu ya...
Nimefurahishwa sana na jinsi watanzania walivyoamka katika Uchaguzi huu. Hii inadhihirisha jinsi Watanzania walivyochoshwa na miaka 50 ya CCM ambayo haikuwa na manufaa kwa watanzania...
:israel:KWA MATOKEO NILIYOYAPATA SASA JOHN MNYIKA AMETANGAZWA NA TUME KUWA MBUNGE WA UBUNGO. HONGERA MNYIKA,HONGERA CHADEMA. PIPOOZZZZZZZ.....!!!:israel:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.