Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni taarifa ninazopata sasa kutoka kwa mwenyeji wa Ulanga kuwa Professor Mkongwe wa Uchumi, na Mhadhiri wa vyuo vya Makerere na Sua ameshinda kwa kishido huko Ulanga. Hii ni hazina kubwa sana kwa...
0 Reactions
55 Replies
44K Views
kwa mtazamo wa kawaida nadhani seif kakubali tu kwa sababu shein ni mpemba mwenziwe sijui wadau mnasemaje? maana naona mchakachuo wa kipindi hiki umefanyika kiintelijensia sana na katika chaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hesabu ndio somo linaloogopewa na wanafunzi wengi ndio maana wanalikwepa pamoja na umuhimun wake kila sekta, sipati picha cha kinachofanya matokeo yashindwe kutangazwa sehemu nyingi wakati hesabu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa sisi em, Selukamba ametangazwa kuwa mshindi, bila kutajwa hidadi za kura alizoshinda. Hii ni baada ya kura kuchakachuliwa kwani mgombea wa chadema ndo alikuwa anaongoza kwa matokeo halali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAJIULIZA JE: Tumpongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo? wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arusha ililipuka jana majira ya jioni, furaha isiyoweza kuzuilika mara baada ya msimamizi kumtangaza Lema kuwa ndiye Mbuge wa Arusha na kumbwaga Matilda wa ccm, yowe, Vifijo na nderemo ilisikika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania lazima tujivunie uchaguzi wa amani 2010.
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Kwa idadi ya viti vilivyochukuliwa na CHADEMA mpaka sasa kwenye uchaguzi mkuu 2010 na kwa kura za uraisi atakazopata Dk.Slaa nina matumaini CHADEMA wataongeza wabunge wengi wa viti maalum na hivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii system inayotumika , inaleta shida huyu mkuu wa IT hakufanya kazi yake vizuri Napendekeza afukuzwe kazi mara moja
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtwara Ghasia amepata 37 elfu vs CUF16 Elfu Tandahimba CCM ELFU 34 VS CUF 33 elfu Masasi CCM ni elfu 28 vs 6,860 CUF Mengineyo MANYONI MASHARIKI 7338 Lwanji CCM vs 6028 za bwana Donald...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimekuwa nafuatilia Matokeo ya Uchaguzi kupitia TV na Radio lakini kinachonishangaza ni Kwamba Katika majimbo ambayo CCM inashinda Matokeo ya Urais Yanawekwa wazi ila Kule ambako Upinzani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC? Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, hivyo NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kuendesha zoezi la uhesabuji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mghh.. Mbona Majina ya ushidi wa wabunge wetu wa Chadema na CUF hamuwatangazi? NEC vipi mmeshindwa kazi, CCM Kubalini bana mtaiba mpaka lini??? NF...Mbeya City Stand Up
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kasulu Mjini NCCR Machale Moses kura 15,296 Udiwani: CCM viti 3, Chadema viti 3, NCCR viti 2. Kasulu Vijijini NCCR Zaituni Agripina kura 26,130
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Source: IPPMEDIA, 2010 Source: Mwananchi 2/11/10
0 Reactions
0 Replies
988 Views
kwann majimbo ambayo ccm ina hali ngumu matokeo hayatangazwi mapema hata kama yapo tayari? nayanapotangazwa yanakuwa na mashaka?
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya. Wazo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ITV hamuwatendei wananchi haki kwa kuzuia matokeo ya Urais ambayo yanatangazwa pamona na yale ya wabunge. Tangazeni matokeo hayo yanavyokuja kutoka majimboni. Kwanza ni kwa sababu mtawasaidia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
• Slaa ang'ara, wabunge CHADEMA wapeta MATOKEO ya awali ya kura za urais, ubunge na udiwani yaliyoanza kutolewa jana kwenye vituo mbalimbali nchini, yameonyesha kuwa nyota ya mgombea urais kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani weka list ya Mawaziri waliodondoka hapa!!! only list no posting long sentences.
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Back
Top Bottom