Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Confirmed;Busanda,Geita and Nyangwale zaenda CCM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Bila shaka mtaniunga mkono, wakati tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi toka sehemu mbalimbali na hali halisi inavyojitokeza, hii ndio suluhisho ya yale yaliyokuwa yakielezwa na vyombo vingi vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Source Channel Ten through Msimamizi Wakuu Mkinga haya CUF- Mbege 11,252 CCM- Kitandula 19,667 Udiwani CUF- 7 kata CCM- 14 kata Uraisi CHADEMA- 1,083 CUF- 1,480 CCM- 22,803 Muheza Kata zote...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Yule jamaa anayefanya propaganda hewa kwa JK kwa kujifanya haoni kama kuna kibano chochote mbele ya chama chake na JK wake kwa style ile ile ya jamaa aliyekuwa staa wa propaganda kwa Sadaam wakati...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
This is the Time to Develope changes in Tanzania, From Educated to unrducated because if we fail our brothers and sisters will be ammesing for what we have done during out period.. As Benjamin...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamii forum kinachonishangaza ni kuwa, Mkoa wa Tabora Haujafanyiwa chochote na Selikari ya CCM,Tabora ya mwaka 47 ni sawa na Tabora ya Leo.barabara mbovu,watu ni maskini sana,nitakupigieni picha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa matokeo ambayo tayari yaliyokwishatolewa Chadema inaongoza kwa mbali hasa nafasi ya urais na ubunge; Jk afikishi hata nusu ya kura ya Dr Slaa. Marmo hali yake ni mbaya. Chadema inaweza kupata...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
habari z ahivi punde toka moro ni kuwa ccm wameiba fomu ya matokeo, wakala walipochachamaa ikapatikana, ila imegoma kuingia ktk machine,(hapa sijui ni machine gani). may be kuna machine ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ujumlishaji wa kura unaenda taratibu sana, habari za kuaminika (toka kwa mnyika) bado hawajafika hata 20% ya kura zote zilizopigwa baada ya zengwe na mvutano mwingi, mnyika akatoa saa moja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukiacha vyama na ushabiki ukweli ni kwamba wananchi wamechoka na mabadiliko ni lazima yatatokea. Kwa mfano Mkapa alikuwa anatishia vyombo vya habari lakini sasa hakuna siri tena kwasababu huwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana almost matokeo ya uraisi yanajulikana yatakuaje,ingia kweny link hii upate majibu. Mwananchi Election Editions
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chonde chonde, wana wa mageuzi, japo dalili zinaonekana kuwa uraisi haujashinda, mimi naona umeshinda SANA. Halmashauri nyingi sana, zenye nguvu ya watu na rasilimali ziko mikononi mwenu. Fanyeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtutula Abdallah Mtutula – CCM - Tunduru Kusini. Matale Ramo – CCM - Tunduru Kaskazini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jinsi mwenendo mzima unavyokwenda wa swala zima la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na Urais, Tanzania itaongozwa na raisi aliyepatikana kwa nguvu ya dora na hujuma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Opposition Leader Expects Kikwete Re-Election in Tanzania Peter Clottey, Voice of America, 01 November 2010 The leader of Tanzania’s parliamentary opposition told VOA indications on the ground...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Songea Majengo Urais CCM - 86 CHADEMA - 121 CUF - 7 APPT - 2 Ubunge CCM - 69 CHADEMA - 124 Udiwani CCM - 71 CHADEMA - 121 Songea Mfaranyaki Urais CCM -...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
  • Closed
Hivi kuna mtu yeyote aliye na data za jimbo la Muhambwe - Kibondo (Kigoma) manake CCM walimtosa mzee mwenzao Arcado Ntagazwa naye akaingia kambi ya jirani (wapinzani) CHADEMA, sasa sijui vipi huko
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu fisadi wa mabasi ya Dar Moro Mhe. Aziz Abood ameweza kutumia utajiri wake kununua wapiga kura. Ameshinda kwa kishindo kuwa mbunge wa CCM 20010-2015
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vipi Matokeo Mbinga Mashariki na Magharibi?,Kuna mwenye habari?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom