Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tume ya Uchaguzi ya Taifa imemtangaza sasa hivi Dk. Mohamed Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar baada ya kupata jumla ya kura 179,809 sawa na 50.1% dhidi ya maalim Seif wa Cuf. Maalim Seif...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine. Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani mbona hatupati matokeo ya Dar hasa Ilala kimyaaa wenzetu Zenj wameshamaliza. Au wanataka kuvuruga amani:A S cry::A S cry:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale mlio mbali na nyumbani unaweza kupata free live General Election Streaming TV at this link: www.livestream.com/vizatv enjoy.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili Send to a friend Monday, 01 November 2010 17:41 0diggsdigg Suzy Butondo, Shinyanga MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna Taarifa kuwa Magu Mjini mabomu yameanza kupigwa huko Magu baada ya kucheleweshwa kwa matokeo, vulugu zilizuka kutokana na watu kuhisi walikuwa wakipanga namna na kuchakachua matokeo kwa vile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MASWA MAGHARIBI na MASHARIKI,Shibuda na Mkoja wameshinda kwa kura 17456 na 17075 respectively.OPULUKWA Meatu 13850 ameshinda,Chadema ipo juu hapo
0 Reactions
0 Replies
822 Views
jamani mwenye update juu ya wagombea hao atupe plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa zilizopatikana hapa tabata (Kimanga mwisho) zimesema kuwa Makongolo amenaswa na polisi hapa Tabata na anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi. Tuendelee kufuatilia zaidi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tension mounts in Tanzania over delayed poll result By Fumbuka Ng'wanakilala Mon Nov 1, 2010 5:41pm GMT DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian police used teargas to disperse opposition...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shimbo aliviasa vyama kukubali matokeo. Sehemu nyingi sasa CCM wanayakataa matokeo na hata kuyachakachua. Amekaa kimya kana kwamba amesahau kuwa alitoa kauli kali, tena akiwa amekunja uso na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimetokezwa kuwa wakati wananchi wakiwa na kiu ya matokea ya uchaguzi hasa jimbo la MBEYA MJINI, Mh. Lowasa na Makamba wako hapo mjini na polisi wanazidi kupiga mabomu kutawanya watu wenye KIU ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu. Mitaa ya Mafyati, Mwanjelwa , Airport hadi soweto vurugu tupu. Vijana wasubir Mr.2 (sugu) kutangazwa mshind wa Ubunge mbeya mjin
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Surprisingly the world has come across the first world ever democratic revolution whereby corrupt leaders are shreaded into the dust bin. International correspondents and observers fail to get a...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
  • Closed
1) Kituo Cha Bwawani-Unguja Maalaim seif CUF 593 Dr Shein CCM 141 Jimbo la Chake Chake-Pemba Kituo cha Michakaini Maalim Seif CUF 956 Dr. Shein CCM 246. Kituo cha Ngwachani...
0 Reactions
112 Replies
15K Views
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount kabla ya hapo mbunge alikuwa Ally(Chadema), kwa ushindi wa kura 450 baada ya recount Mbungev wakachakachua matokeo ikawa CCM kwa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Jamani hebu tulijadili hili, mbona katika majimbo ambayo ccm inaelekea kushindwa ndio kunakuwa na urasimu wa kutoa matokeo na hivyo ku7ababisha fujo
0 Reactions
0 Replies
992 Views
  • Closed
Wana JF nimepata habari kwa ndugu yangu aliyeko Mwanza kuwa watu wenye hasira wamechoma moto ofisi ya ccm na shule moja wapo, kisa kucheleweshwa kwa matokeo, ama kuchakachuliwa. Watu wa Mwanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom