Huu si uchochezi. Atakayeona hivyo, basi na aone hivyo.
Ni ukweli.
Wananchi wanaamua hivi, kikundi kidogo kabisa cha mabepari/mafirauni wanaamua vinginevyo wanavyotaka kwa maslahi binafsi...
Tunawasihi CCM, NEC, na serikali waheshimu maamuzi ya wananchi. Majimbo yote ambayo upinzani umeshinda kihalali matokeo yatangazwe pasipo kuyachelewesha. Msiwalazimishe watu watumie hulka ya...
Shija Felician, Kahama (Gazeti la Mwananchi)
WAKATI zoezi la kuhesabu kura za ubunge na urais likiendelea katika kata ya Bulige jimbo la Msalala Wilayani hapa,Wilayani Kahama, jumla ya Masanduku...
Kwanza niwe muungana kwani taarifa ya awali nilikoipata nilipaamini basi tena ikawa ndivyo sivyo.
Source STAR TV. Magufuli ameshinda 37,000 na CHADEMA 14,000
Source STAR TV. Wenje (CHADEMA)...
Habari zilizothibitishwa jeshini na kusambaa kwa kasi ni kuwa;
Tume ya uchaguzi haina nguvu tena kwa sasa hivi, UWT na jeshi ndiyo wanahangaika hapa na pale na kufuata wazee waone nini kifanyike...
huku musoma mambo yamekwenda mrama baada ya mtu mmoja anaye sadikika kuwa mwanachama wa CCM kuingilia maandamano ya CHADEMA na kumjeruhi mtu 1....Na matokeo yake kupigwa nusu ya kuuwawa na...
Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya...
Nchi ya Brazil walifanya uchaguzi siku ya Jumapili kama Tanzania. Idadi ya watu (population) huko Brazil ni kiasi cha 190 milioni na eneo la nchi yao ni kilometa za mraba 8,514,877 (square...
Wandugu,
Mhe. Shibuda ameilipua ccm huko Maswa. BBC Swahili wametangaza muda si mrefu. Bunge la mwaka huu litanoga. Askari wa chadema wanaendelea kuongezeka...
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.
This was their time ila they need first...
wapinzani tutumie uchaguzi huu kujifunza!! Mcpo ungana ni dhair CCM wataendelea kuongoza nchi!! Kama wapinzani wangeungana am sure leo wangeshika nchi! Ila kwa sababu ya tamaa zao wamekosa!!
kwa taarifa zinazoendelea kusambaa shinyanga,, mgombea wa chadema bwana shelembi ameibiwa ushindi wake na kusababisha hali ya mchafuko kutokea sasa huko shinyanga..
Pia kwa habari zisizo rasmi...
Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.