Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
JK mkakati wake wa kurudi kazini yaelekea umefanikiwa kutokana na matokeo ya awali yanayosomwa na NEC ambayo yeye mwenyewe ndiye mteule wake lakini anaelewa fika siyo chaguo la wengi na ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ITV wanatangaza, Hawa Ghasia ameshinda mtwara vijijini. Udiwani ccm 26 cuf 2
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani watanzania naomba mnitaarifu majibu ya majimbo hayo hapo juu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TBC wanatangaza kuwa NEC wanarusha rusha nadhani wanachakachua maana kuna close contest kati ya CCM na CHADEMA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Jamani hebu angalieni Star TV live coverage, polisi warusha mabomu kutawanya watu pale ofisi za jiji. Kisa? matokeo kucheleweshwa, nyamagana na ilemela
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani huku bara nako ccm watataka serikali ya mseto.hawataki kukubali defeat!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiki ni kipindi kigumu katika nchi yetu wakati tunapoendelea kusubiri matokeo ya kura. Inahitajika wenye hekima kuitumia hekima na busara yao katika kuepusha utata na hisia zisizo na lazima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There are currently 16687 users online. 1962 members and 14725 guests Most users ever online was 16,925, Today at 04:40 PM.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kufahamu matokeo ya Rungwe na Kyela mtu mwenye taarifa tujulishe jamani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samahanini sana sana sana kwa kulipua hili mada mbele yenu, lakini lengo langu si kuchafua mioyo yenu na ubongo wenu, lengo kujua kitakachotokea huko mbele nchini juu ya Dr. W. Slaa(PhD)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jumla ya mawaziri 14 hivi hadi sasa yasadikiwa wamepoteza viti vyao lakini kila mahali wakubwa hao wanakataa matokeo na kutaka kura zihesabiwe upya!!!!!!!!!!!!!!...... Katika sheria ya uchaguzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa matokeo ya mwka huu percent watayopata ccm dio exactly idadi ya wajinga wa tz, wasiojua kusoma, kuandika, na kuchambua mambo. ukitaka kuniprove sahihi just angalia maeneo ccm walioshinda uone...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiburi na majigambo havijawasaidia,wadau waliwaonya sana masikio pamba waliyatia wakawatuhumu wapinzani sasa wao na jeshi lao ndio wanapalilia vita.wana jf tujadili hili je ccm inafia mikononi mwa...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Wakuu, This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki? Observers mnafanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom