Tafadhalini wadau waleta habari leteni habari zilizothibitishwa sio uzushi. Hadi sasa hivi nishachanganyikiwa ipi ni habari ya ukweli na ipi ya uongo...tusikurupuke tuwe na subira.
Jana nimeona matokeo ya vituo vya utawala nikajua kuwa ukitaa kumulika nyoka anzia miguuni kwako na nilikuwa najua kama REDET watakuwa vizuri kazi watakuwa waliianzia pale chuo kwa wanazuoni...
BBC News - Why is there almost no tribalism during Tanzanian elections?
hii ni video inaongelea mambo ya tribalism Tanzania na Uchaguzi. Nimeipenda kweli. Safi sana....
Can elections help...
Kabla ya viti maalum. Bunge la Jamhuri (yes ukichanganya na Zanzibar) kutakuwa na wapinzani between 80-90. Ukiongeza na vitu maalum, lazima tukubali kwamba litakuwa bunge la ukweli.
Jakaya is...
Inasikitisha kuona ya kwamba CCM na serikali ambayo ilikua inaimiza uchaguzi wa amani.Lakini ni CCM hiyo hiyo inayojenga mazingira ya vurugu kwa kuchelewa kutoa matokeo.Kuwaweka wananchi katika...
Taarifa nilizozipata muda huu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM (W) - Meatu (Jina limehifadhiwa) ni kwamba mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Khamis Salum Mbuzi ameshindwa kutetea kiti chake cha...
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama...
KUNA TETESI KWAMBA MZEE SUMARI, ALIKUWA ANAKUBALIKA SANA KABLA YA MWANAYE KUHAMA CHADEMA KUTOKANA NA KUDANGANYWA KWAMBA ATAPEWA KITI MAALUM SISIEM, HII IMEPELEKEA VIJANA WENGI WANAOPINGA ROHO YA...
Inasikitisha sana kwamba mpaka sasa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi hawataki kutangaza matokeo RASMI YA KURA ilhali matokeo ya vituo vyote vya KATA wameshayapokea.
NEC na wasimamizi hawataki...
Nimekuwa nikijiuliza swali moja ambalo imekuwa ngumu kupata jibu. Hivi wakuu mmekuwa mkijiuliza ni nani atawakilisha CCM kwenye urais 2015? Kwa harakaharaka sijamuona maana naona kama wote...
Kwa kweli wazungu watatucheka,
CCM hawa ni mashetani ya Tanzania, kwa sababu wanafanya kila hila kupata ushindi ilhali wakijua
fika ahadi na sera zao hazitekelezeki.
Sasa wanataka kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.