Habari nilizopata hata tanga ni kuwa CUF wamevuna viti 9 kutoka 0 vilivyokuwepo mwaka 2005.
Kwa maana hiyo halmashauri nayo imeshikika na wapinzani. ila Ubunge CCM ndo kapita. Tanga hakukuwa na...
Ni jambo la kushangaza sana Tume ya uchaguzi inabadili sheria za mchezo katikati ya mechi. Hivi sasa matokeo ya ubunge na urais hayatangazwi tena katika kata .. Wapinzani wapo kimya!!
Kura...
Tume ya uchaguzi inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo mbalimbali nchini. Matokeo haya yanarushwa live katika television mbalimbali ikiwemo ITV. hadi sasa inaonyesha ktk majimbo mengi chama cha...
Chama cha mapinduzi kimezoa karibu majimbo yote ila moja katika mkoa wa Kagera, pia jimbo la mafia ccm imeibuka kidedea, Lindi mjini CUF wamechukua jimbo ilo
NEC imetangaza majimbo tisa na mwelekeo ni kujaribu kuonyesha JK atashinda ushindi wa kishindo kutokana na uchaguzi wa majimbo wanayoyatangaza.katika ya majimbo tisa waliyoyatangaza Dr. SLaa...
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na...
Monday, 01 November 2010
Mamia ya wafuasi Chadema wamaekusanyika katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya ya Maswa wakidai kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa wabunge katika majimbo ya...
Atakayechakachua matokeo na kuharibu uchaguzi wa wananchi atakumbana na kichapo cha Yehova. kwa taarifa tu ni kwamba tangu mwaka wa jana Watanzania tumeendelea kuomba mbele za Mungu, tena kwa...
Waku nimepigiwa simu na mdau wa karibu Mheshimiwa Mbowe na Ndesamburo wameingia Arusha kuweka sawa hali ya mambo baada Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha kuwaambia Lema amewekwa sawa na Mzee wa...
Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani.
Wenye data zaidi leteni.
Tetesinilizopata toka mwanza zinasema kwamba hata kule kwa shibuda mambo mswanu kwa chadema.... Nasikia shibuda anaendelea kuwapumulia watani wake wa jadi ccm kisogoni......... Helo helo...
tafadhali Makambo na viongozi wa CCM msituharibia amani yetu na uchumi wetu kwa uchu wa madaraka ya Dr. Batlilda Buriani na Lowasa kwani sasa leo nimeshuhudia Lowasa anaingia katika ofisi za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
Kwa hali inavyoonyesha, sasa ni dhahili kutakuwa na umwagaji damu kama matakwa ya wananchi hayatafuatwa. Je ni JK au ni Dr. Slaa ambaye yuko tayari kuingia ikulu kwa kumwaga Damu? Tafakari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.