Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mdau wa Tabora amenipasha kuwa Sitta anaelekea kushinda kwa Kishindo Urambo mashariki, Prof. Kapuya hali yake mbaya huko Kaliua ana mchuano mkali na CHADEMA, Rage anaelekea kushinda kwa kishindo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Yule hata kama akiwa upande wa pili bado ni mtu wetu, tusimtupe wadau CHADEMA ikishika dola lazima ataruka daraja tu. ANA ROHO YA KUPENDA NCHI YAKE.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Matokeo niaje huko?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, Wananchi sehemu mbalimabli wamegundua dawa ya uchakachuaji!-KUCHOMA MOTO MASANDUKU YA KURA zilizokwisha-hesabiwa ili kuzuia kurudiwa kuhesabu kura na hatimaye kuchakachua! Kule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa mujibu wa taarifa ya star tV sasa hivi, manispaa ya kigoma ujiji mabomu ya machozi yamepigwa, (na possibly risasi za moto) kuwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wanashinikiza matokeo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna tetesi kwamba wasimamizi wa uchaguzi majimboni wamepewa amri ya kutotangaza matokeo pale ambapo vyama vya upinzani vimeshinda mpaka kwa kibali cha serikali. Kama kuna anayejua iwapo tetesi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tume ya taifa ya uchaguzi sasa wamedhihirisha kabisa kuwa wamepania kunusuru wabunge wa CCM walioangukia pua. wanachofanya sasa hivi ni kutoa matokeo kidogokidogo kwenye ngazi za udiwani na kusema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wananchi wa kata ya malinyi wamemchagua ndg said tira kuwa diwani wao, kura zilizo mpa ushindi diwani mteule tira zimetoa taswira na ishara kuwa mgombea ubunge wa chadema prof. Mlambiti anayo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa miaka tumeambiwa wao ndio waasisi wa demokrasia nchini na ya kuwa wao ndio walinzi wa demokrasia hiyo. Leo hii Taifa letu linaenda kupitia kipindi cha majaribu na tusipoangalia tunaweza kupita...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa nini majimbo ambayo CCM wanashinda yanatangazwa mara moja na yale ambayo wameshindwa hayatangazwi? kuna nini? ina maana hadi muda huu hakuna hata jimbo moja limetangazwa kuwa wameshindwa baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuanzia jana jioni tuliona faraja baada ya kuanza kutoka matokeo ya Urais, ubunge na udiwani toka vituo mbalimbali.Kulingana na sheria tuliyosoma ya uchaguzi uchaguzi inaeleza wazi kuwa" kura zote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wakuu kuna yoyote mwenye taarifa ya dada yetu huyu? I love this lady na hoja zake alizo kuwa akizitoa humu JF. Mara ya mwisho nili sikia ana nafasi nzuri tu ya kushinda ila tokea kura...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu.... Nimepiga kura kwa amani sana... sasa napata wasiwasi sana kusikia z'bar wanagoma kusaini, Arusha wanagoma ku-sign na pia nimesikia matokeo ya urais yasitangazwe hadi yajumulishwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HONGERA SANA Mhe. V. K. Nyerere Takwimu za matokeo ya Musoma Mjini zimedhihirisha udhaifu wa kauli ya JK kuwa CCM haiibi kura...! Mwaka 2005 Mathayo alishinda ubunge kwa kura takribani 21elf...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi wamechoka kusubiri matokeo na sasa wanaanza kutumia nguvu kuingia ndani ya chumba walikojifungia maafisa uchaguzi. Matokeo ya majimbo mawili yanasubiliwa toka jengo moja chini ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna habari nimezipata muda si mrefu kutoka Mwanza zikieleza kuwa matokeo ya Nyamagana yamegeuzwa na kwamba sasa msimamizi wa uchaguzi ana mpango wa kumtangaza Masha kama mshindi wa uchaguzi jimbo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgombea wa ubunge wa CCM amegoma kusaini matokeo baada ya kubwagwa na mgombea ubunge wa CHADEMA, mwl. N. Yamsebo. CHADEMA tayari wanaimba nyimbo za shangwe na polisi wamesema hakuna hata mtu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
wadau matokeo yametangazwa tarime chadema chali!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Kunatatizo gani mpaka matokeo yachelewe kiasi hiki?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom