:peep: Ni masikitiko makubwa kwamba bado watu wanafikiri mbinu za kuchelewesha matokeo zinaweza kusaidia katika zoezi la kuchakachua kuza 2010??? jamani watu wameamka uzingizini acheni umma uhamue...
Nimejaribu kupitia blog ya HAKINGOWI, amejaribu kuweka matokeo ya Urais kutoka katika majimbo kadhaa na inaonesha CCM wanaongoza kwa kishindo, lakini baadhi ya wanachama wa CUF inaonekana...
Break News hali ya znz hivi sasa sio shuari Wafuasi wengi wa cuf wanazidi kuongezeka Bwawani wakiilalamikia Tume kuwa mshindi wa urais apewe haki yake sio zulma
Kwa takuimu za majumuisho...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu.
Matokeo hayo yametangazwa jana...
Bila kujali nani atachukua kiti cha urais, bila kujali ni chama kipi kinaongoza nchi, bila kujali kama mimi au wewe tunashikilia kadi za CUF, CCM, Chadema, NCCR, au TLP; leo, Novemba Mosi 2010...
Jamani, UDIWANI, UBUNGE si dili sasa, DILI ni URAIS. Hebu wenye taarifa ya jumla yote toka kwenye vituo vyote hata kama haijathibitishwa na tume, WAIMAGE HAPA.
TV wanaboa tu, story zao za...
Kwa miaka mingi taifa hili limekuwa likisubiri mabadiliko na uwenda hata wale walitabiri leo hatupo nao lakini leo ninafuraha kubwa kuwa mapinduzi ya kisiasa ktk siasa za taifa la Tanzania...
KWA TAARIFA TU NI KUWA LEMA AMESHINDA Lakini kinachoendelea ni kutaka kumpoka ushindi.
Nawafahamisha Watanzania kuwa iwapo Batilda atatangazwa mshindi wa Ubunge Arusha mjini mjue kabisa kuwa...
ASUBUHI YA LEO NIMEANGALIA MATOKEO YA KURA KATIKA TV PALE MANZESE NIKASHTUKA KWAMBA:-
1. KITUONI WALIJIANDIKISHA WATU 480 LAKINI WAMEPIGA 132.
2. KITUO KINGINE SIKIKUMBUKI JINA WAMEJIANDIKISHA...
Comments za Mjengwa hizi hapa
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA!
Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha...
Despite CCM touting a five million strong membership electoral ironclad, the untold truth was most of those CCM zealots had either unofficially decamped to the opposition or were too disgruntled...
Monday, 01 November 2010 11:44
Kwirinus Mapunda, Tunduma MTU mmoja anayesadikiwa kuwa ni Mwanachama wa Chama cha CUF Mussa Bakari (27) amefariki gafla usiku wa kuamkia Novemba 1 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.