Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna taarifa zinaendelea kuzagaa kuwa Mh JK amekwenda Mwanza leo hii, je hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli, je amekwenda kufanya nini???
0 Reactions
26 Replies
4K Views
A clear, true lesson(s) to political leaders!!! Safi sana watanzania.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wizi unaonekana ni wa wazi jimbo la ubungo coz kuna jama ameonekana na makaratasi anataka kuondoka nayo tena akitumia gari binafsi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lt. Gen. Adulhaman Shimbo huku akiwa amekunja uso alituambiwa tukubali matokeo. Sasa namuomba atoke tena awakumbushe CCM waliokubaliana na kauli yake 100%. Shimbo where are you !!! CCM denies...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani kashinda mbeya mjini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa kutoka jimbo la Kawe inaonesha haya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari nilizozipata sasa hivi CCM 89% CUF 8% Chadema 3% nitaendelea kuwaabalisha maana CCM inaongoza hata mikoa mingine
0 Reactions
27 Replies
6K Views
CHADEMA mpaka Sasa wanaongoza kwa Majimbo,, na sijui hayo yaliyo baki kwani CHADEMA ilisimamisha asilimia 45 tu ya majimbo yote Tanzania,, lakini ninaimani kuwa Watanzania now wamekubali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu ya kampeni Kinana alituahidi mdahalo wa JK baada ya uchaguzi Je utafanyika?Atazungumzia nini?Kutangaza matokeo ya uchaguziiii?Kuomba msamaha kwa Watanzania kwa alikotufikisha?Kubatilisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naelezwa hapa kuwa Kibaha Mjini Chadema kakamata kiti cha ubunge!
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Tume iliahidi kuwa matokeo ya kura za Urais nayo yatatangazwa majimboni kabla ya kujumlishwa rasmi na tume na kutangazwa rasmi. Kwamba sasa wanataka wasimamizi wa majimbo wasitangaze hadi wapeleke...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa kweli si jambo la kufurahisha, kazi imefanyika kwa AMANI harafu hawa jamaa wanataka kuanzisha fujo. Nina maswali machache hapa wana JF tujiulize. 1- Nini maana yake kila kituo kubandika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
FUONI Waliojiandikisha 10884 Waliopiga kura 9367 %86.1 Kura halali 9201 %98.2 Zilizoharibika 166 %1.8 DK SHEIN CCM 6351 %69.0 Maalim Seif CUF 2777 %30.2 Kasim Bakr Ali wa jaahazi asilia ni 9 % 0.1...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Napata taarifa hapa kupitia BBC, Biharamulo CHADEMA imepeta na funny enough mgombea wa CCM, Mukassa ndiye aliyetoa taarifa hii!!!!!!!!
0 Reactions
25 Replies
5K Views
hembu wanajamii niambie nini kinaendelea huko Arusha??? nasikia Buriani naye kagoma kusaini tabu la matokeoooo?? TUPASHANE
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Vipi hapo ZNZ hali ikoje na tusubirie nini?. CUF watachukua Kisiwa chao?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wilaya ya mbulu ambako ndio yuko waziri marmo mpaka sasa kati ya kata 32 tayari chadema wana kata 19 mfukoni na ndio tunasubiri huko kwingine! Upande wa hanang ambako ndio yuko waziri nagu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hali inayoeendelea hivi sasa kwa kuchelewesha kwa matokeo ya uchaguzi inaonyesha wazi ya kua ccm haikujiaandaa kushindwa.Kampeni zao zilikua usanii nalizikua zikienda kwa mazoea.Hawakuweza kusoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachelewesha buuuure.... Wanaota ndoto za mchana kuwa uchakachuaji wao utaweza kuokoa janga walilolipata... Nchi imeshakombolewa na rais wetu ni Dr Slaa....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom