Ikiwa ni tayari saa 6 usiku na ni tarehe 31 october 2010. Ni siku iliyosubiliwa kwa hamu kubwa ili watanzania wafanye mabadiliko makubwa. Mabadiliko yatakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa...
Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema...
Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao...
Jamani katika mahojiano ya wagombea uraisi watatu JK,Slaa na Lipumba haya ya JK ndo yalikuwa yanaboa sana JK badala ya kujibu maswali anaanza kutoa historia.Kweli he is the OUTGOING PRESIDENT
My fellow countrymen, the time to make a wise choice has arrived. Please don't repeat the same mistake again [we'll never get this chance again!!!!!]. Vote for change this time. To paraphrase...
Mkuu kesho ni upigaji kura jamani kwa maendeleo ya Taifa kwa miaka mitano,kura yako ni mhimu sana kufanya mabadiliko ya Tanzania yetu yenye malengo mazuri na wananchi wake, CHAGUA CHADEMA kwa...
Ndugu zangu ambao hamjawa converted kumpigia kura dr. Slaa (yaani bado mnadhani mtampa kura zenu Kikwete) jiulizeni maswali haya kumi.
Una maisha bora?
Wezi wa EPA wamepatikana?
Amekutajia wale...
It is the style of deliveries of their speeches that separated the two wolves from the sheep and I must say Mzee Mwinyi is a truly an exemplary statesman deserving all to emulate........He had...
Kuna mambo mengi yanasemekana yamepangwa ili kura ziibiwe! Naomba kama kuna dalili huko mtaarifu.
Katika gazeti la msemakweli jana tulipewa namba ambayo tunatakiwa kutumia kutoa taarifa kama kuna...
Friday, October 29, 2010
Mchakato wa kuapishwa kwa mawakala Jimbo la Singida Mashariki-Uchakachuaji ukatishao tamaa
Jana nilikuwa kwenye mchakato wa kuapishwa kwa mawakala watakaosimamia na...
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha...
Rais JK... nilipokusikiliza asubuhi ya jana redio Clouds nilipata tabu sana kufuatilia maongezi yako hasa kutokana na sauti ya uchovu na kigugumizi kishichokwisha... kusema ukweli si kwa nia mbaya...
CCM inakiuka miongozo ya katiba yake, ikiwa ni pamoja na mwongozo wa Azimio la Arusha na Siasa ya TANU juu ya Ujamaa na Kujitegemea, kama ifuatavyo:
MISAADA NA MIKOPO
VITAHATARISHA UHURU WETU...
Itahesabika kuwa imeharibika ikiwa karatasi ya kura iliyohesabiwa itatobolewa na office punch?
ikiwa ni la nadhani kwa wale wanye uwezo wa kupata kitoboleo karatasi itawazuia wachakuaji...
Haya ni maneno ya Benjamin Wiliam Mkapa, ambaye aliendesha kampeni za vitisho zilizowakatisha Wananchi tamaa ya kutokea mabadiliko ya uongozi.
Kwa sehemu kubwa sasa katitika kampeni ambazo...
Ndugu wana JF,Ndugu wafanyakazi na wale wote wanaowategemea, kesho ndiyo siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu ya kumdhihirishia Kiwete kuwa Wafanyakazi si watu wa kubeza,kudharau,kutukana na...
MAELEKEZO YA KUOIGA KURA YA RAIS. Ukipewa karatasi, ANGALIA PALIPOANDIKWA DR. SLAA AU ALAMA YA VIDOLE VIWILI, TIA TIKI HAPO. UTAKUWA UMECHAGUA RAIS MAKINI. TUMA KWA WATU 20
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.