Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dk. Slaa: Nitashinda • Kuhitimisha kampeni Mbeya leo na Mwandishi wetu MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Watanzania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Jana katika mkutano wake na waandishi wa habari JK kwa mdomo wake alinishangaza pale alipotoa mfano wa ajira walizo leta katika kipindi cha miaka mitano ni "uanzishwaji wa Groceries...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la Mtanzania likidhani ndiyo linamjenga JK kumbe la hasha limemnukuu Bw. Lowasa akimnadi mgombea wa CCM wa Uraisi JK kwenye kichwa cha khabari kisemacho.........."JK hana mpinzani na zamu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na kupelekea Wananchi tulio wengi tusione jinsi maswali ya mwanzo yalivyojibiwa!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wa'Tanzania', Tunakaribia kuhitimisha kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania (2010) kwa kupiga kura hapo J2 zitakazoamua nani kuwa rais wa Tanzania. Kupitia uchaguzi huu, watanzania pia watapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
dokii kukatika mauno hadharani mahudhurio hafifu na wewngi kuonekana walifuata burudani toka kwa marlaw,flora mbasha na hafsa kazinja jk kutumia dakika kumi kwenye hotuba yake jk kurudia kauli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania, Taifa linapata Ukombozi; Hii ndio hali Halisi, wataiba kura sana lakini Mkono wa Mungu utawaumbua, na nguzu za giza zitawashinda. Wataanguka na Rais Wetu Mpya atapita katikati yao, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NEC yabariki kampeni za Chadema Maswa kusitishwa Na Joseph Mwendapole 30th October 2010 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imebariki uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Uchaguzi ya Jimbo la Maswa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo kwa kuwa siyo siku ya kazi nilijihimu kwenda soko la Ilala kujipatia mahitaji yangu. Nilipoteremka stand ya Ilala sokoni (kutokea maeneo ya Buguruni) niliona watu wengi, hasa vijana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo wataalam wanasema ukitaka kuzaa mtoto wa kiume mimba lazima itunge siku ya 14 jaman kupitia uzoefu wanga siku kama ya leo katika kila chaguzi chama cha mafisadi uwa wana kesha usiku kucha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, kama kuna mtu anayo detailed profile ya Dr Slaa naiomba nataka niiweke mahali fulani kwaajili ya wasomaji. Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wandugu yamebaki masaa Kabla ya Kuifikia siku ya uchaguzi, ni saa sita na dakika moja usiku wa leo kama Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa tumeifikia hiyo siku! Bado ninashaulu ya kujua kama ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ahadi za Dkt. JK: 1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini 2. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora 3. Tabora kutumia maji ya Ziwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CAG aagiza tuhuma dhidi ya Dk Kawambwa kuvaliwa njuga Saturday, 30 October 2010 (Mwananchi) MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amemwagiza Mkaguzi Mkazi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hey guys,the only and great thinkers, Kwa mara ya kwanza nimetokwa machozi ya uchungu na furaha,vyote kwa pamoja niliposoma post ya Dr Slaa aloituma hapa hivi punde. 1.Nimekuwa na uchungu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JK kweli anajua kula na vipofu, na amedhihirisha hilo kwenye Q&A session ya jana ( Huku wakiuita ni mdahalo). Anasema siri ya ajira nchi hii ni Kuleta wawekezaji? Cha ajabu ukitembelea website...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waliotangaza kura feki Tunduma wapata dhamana Saturday, 30 October 2010 Mwananchi Stephano Simbeye, Mbozi VIONGOZI wawili wa Chadema, kata ya Tunduma, wanaokabiliwa na kesi ya kutoa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waulizwa maswali wamepangwa, wengine hawaruhusiwi kuuliza. Mambo yameanza. Kabla hajaanza kujibu, kwanza anacheka. Suzan Mungi-Style ya kampeni, unawanadi wabunge baadhi ya wananchi wanalalamika...
0 Reactions
593 Replies
42K Views
baada ya miaka mitano nawasilisha summary of some critical view zangu kwa Utawala/ Uongozi wa JK. NB Naomba Nieleweke kama rais anayemaliza lazima kuwe na critics hata angekuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom