Leo nilikuwa namsikiliza JK.
kuna sehemu amenihuzunisha sana pale nilipomsikia anaimba
JK:"Daraja Daraja Daraja "
hicho kibwagizo kimenionyesha huyu mtu ni Msanii wa bongo flavor ila kakosea njia...
Hi, yeah kama kichwa cha ujumbe kinavyosema, nahitaji msaada wa kimawazo. mimi nikijana tu wa kawaida niko kidato cha pili katika sekondari ya kata ya nyarugusu wilayani/mkoani geita. nimekuwa...
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi...
Nimepata taarifa toka songea wanasema pamoja na ahadi za jk alizotoa za meli,hosp za rufaa na bla bla nyingi,umati ulimuita tena dr.slaa leo songea haijawahi tokea.kama kuna mwana jf there pse photos!
never on earth kwamba turnout ya voters ni 100%, leo kiravu anatueleza wanaongeza 10% ya papers to cater 4 shortages, hii inaingia akilini, Mjoma mpoki anasema uchaguzi uliopita turnout ilikuwa...
Kwa wale tu waliokua na mda wa kumsikiliza mkuu wa nchi anaemaliza mda wake, yaani ex-president. Je umeguswa vipi na unampa maksi ngapi?
Update: Nawashukuru wote ambao mko objective, unapotoa...
Hatimaye imebakia siku moja wananchi kwenda kuwachagua viongozi wawapendao kuwaletea maendeleo kwa awamu ya pili baada ya viongozi wa vyama vyote saba baada ya kunadi sera zao. Kweli nimefuatilia...
Katika khali inayothibitisha ya kuwa fani ya uandishi wa khabari imeingiliwa na kuvamiwa na mamluki wenye nia mbaya ya kushusha hadhi ya vyombo hivyo machoni pa jamii, gazeti la Mtanzania la leo...
The Moshi High Court has dismissed Benjamin Mengis defamation claims against British investors Stewart Middleton, Sarah Hermitage and Mr. Paul Deodat Mtenga, a Tanzanian and former employee of...
Ndugu zangu wa'Tanzania' kama ndoto vile tarehe ya kupiga kura kuchagua viongozi wetu inazidi kusogea. Tumebakisha masaa kadhaa tu kabla hatujafanya maamuzi muhimu sana ya kuchagua viongozi wetu...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imevishauri vyombo vya dola kutowabughudhi wananchi watakaokaa mita 100 kwenye maeneo ya vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza kupiga kura.
Ushauri huo ylitolewa...
The cave is the world
The fetters are the imagination
The shadows of ourselves are the passive states which we know by introspection.
The learned in the cave are those who possess empirical...
Leo jioni channel Ten na CCM wamezindua matangazo ya kumnadi JK huku wakichakachua aliyoyasema Dr. Slaa katika kampeni zake.
Jk anaonekana mikutano yake ya mijini mahudhurio watu wamejaa na huku...
Jamani JF, Viongozi wa dini hasa Wakristo wamenunuliwa leo kwa pesa chafu na JK na wameandaa magazeti kwa ajili ya kumpigia kampeni na kumsafisha JK siku ya tarehe 30.10.2010. Miongoni mwao yapo...
Watanzania wenzangu. Nimegundua kuwa wengi wetu tunapiga kura kwa huruma kwa sababu tumekuzwa na kuelelewa kwa kuhurumiana. Kila mmoja wetu amegundua hasa baada ya mdahalo wa jana kuwa rais wetu...
Leo, wakati anajibu maswali kutoka kwa wawakilishi wa vituo vya TV, Mgombea urais kwa tiketi ya CCM rais JK, alisema kwamba sababu iliyomsukuma kuwanadi wagombea wa CCM wanaokabiwa na kesi za...
Dear Brothers and Sisters in Christ,
Grace and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ be yours in abundance.
We responded to Gods call to mobilize his people all over the world to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.