Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau, Muda mfupi uliopita nimekuwa nafanya mawasiliano na jamaa zangu walioko Mugumu kuhusu ujio wa Rais mtarajiwa Dr. Slaa. Taarifa nilizopata toka kwa watu niliowasiliana nao zinasema kwamba...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mod. nisamehe nahisi kama Rais Slaa au wana CHADEMA walio karibu naye kila siku, wanaweza wasipate ujumbe huu kama nitaandika kwenye thrd nyingine. Mkuu wetu, tafadhari kuhusu kujibu maswali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni busara kwa muda uliobaki tume ya uchaguzi itoe karatasi ya mfano ya kupigia kura ili wapiga kura waanze kuiona na kuizoea, pia ianze kutoa mafunzo jinsi ya kupiga kura. Hili ni jambo muhimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo asubuhi nilisikia kwenye redio Free Afrika katika mapitio ya magazeti kwamba Askofu Mokiwa alilalamika kuwa alipelekewa rushwa ya shilingi milioni 11 ili kunyamazisha baada ya ile kauli yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Frederick Katulanda na Mussa Mkama, Mwanza KAMPENI za Uchaguzi Mkuu ambazo zinaelekea ukingoni zimezidi kuongeza joto la kisiasa nchini, baada ya Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kulazimika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
.....Tumeshuhuda kulipuka kwa wasikilizaji weni kwenye kampeni ya Uraisi kwa idadi kubwa ya watu ila Ndugu zangu, Kaka Zangu, Wakubwa , Zangu , wadogo zangu na wanangu naomba tuwekane sawa jambo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Somo la u-Raia: Katika Kuwajua Viongozi Wetu wa ki-Siasa. Ni nani mwenye data za CV za hawa wagombea-wenza (u-Rais) na vyama vyao katika mabano? Rashid Yusuph Mchenga (APPT-Maendeleo) Mzee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hii nimeipata live kutoka kwa swahiba wangu aliye Shinyanga. Anasema mgombea ubunge wa CCM jimbo la Shinyanga mjini aliyemtaja jina la Steven Masele hatakiwi na wana_CCM kwa sababu siyo mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza idadi ya wapiga kura Tanzania bara watakaopiga kura kuwa ni 19,694,416. Tume hiyo pia imetangaza mabadiliko katika karatasi ya kupigia kura na sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali Imetishia kulifungia Gazeti la mawanachi kwa kuandika Habari Za uchochezi zidi ya Serikali Iliyopo madarakani. Habari zaidi mwanachi ya leo tar 20/10/2010 SERIKALI imetishia...
0 Reactions
107 Replies
15K Views
napendekeza badala ya kuwapa wananchi taarifa za mikutano mbalimbali ya kisiasa wakati wa taarifa za habari tu na tena usiku,ni vyema vyombo vya habari wakatenga muda wa wiki hii na haswa mchana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kila kukicha wagombea wanaozungumziwa ni dr.slaa na kikwete .nilisikia kuwa kuna wagombea 9 waliosimama kwa nafasi ya urais. AU NDIO STRIKERS .
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kipindi cha Nyuma kumekuwa na tetesi za Shirika la umeme Tanzania kukata umeme siku za uchaguzi hasa kipindi cha jioni wakati kura zikihesabiwa na kuwapa nafasi wale wasio na huruma na nchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wana JF, kwa kweli nimechoshwa sana na uongozi mbovu wa sasa chini ya serikali ya chama cha mapinduzi CCM. Nimejiandaa vema kabisa kupiga kura kuiondoa madarakani. Fikiria mara ghafla...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetoka kuzungumza sasa hivi na Mgombea wa Ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP Bw. Augustine Mrema ambaye amepinga vikali uvumi ulionezwa tangu jana jioni kuwa ameamua kuachia ngazi kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ktk hali ya kutapatapa ccm imeamua kurudia kampeni ktk sehemu zinazoonekana ku support upinzani. Tatizo ni kuwa mwaka huu haswa wa vijijini wamechoka na ccm!tujiulize mimi na wewe tutapata wapi sh...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikiliza mapitio ya magazeti leo asubuhi Tumaini FM wakanitabanisha kuwa huyu Dada akitoka Sumbawanga alipita katika moja ya miji huko Mbeya kuelekea Mbeya mjini...akaamua kuwapungia...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Nathani kila mmoja wet anatambua kuwa CCM hawako tayari kung'oka madarakani! tujaribu kuangalia tricks walizotumia kwa upande wa Zanzibar ili tuweze kutengua wizi wao wa kura someni hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi na best friend wangu tupo tayari kuitetea Tanzania:hippie::hippie::hippie:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom